@islamicswahilinet: HATA UKIFANYA DHAMBI KIASI GANI, LAKINI USIACHE SWALA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 13:05:48 GMT
62505
10575
182
691

Music

Download

Comments

lajun77
lajurn 77 🥊 :
tumswalie mtume Muhammad S A W
2026-09-29 18:14:33
32
user45305920619751
Lunar :
uyu shekh is one in a million i have 1k kwa yule anaeza nipatia number yake insha'Allah
2026-09-29 14:38:48
30
radhiaseifu8
Radhia. :
me naambiwaukifanya dhambi ukiswali swala aikubaliwi
2026-09-29 14:09:24
19
hasnat.mustafa
Salha 🌹🇹🇿 :
Allah atujalie mwisho mwema 🤲🤲😢
2026-09-29 13:57:31
33
sabrinas1174
Sabrina's :
mashallah huyu Shekh🥹🥹🥹
2026-09-29 20:38:32
0
mateke.okeke
Mateke Okeke :
may Allah for give Us
2026-09-29 17:57:16
1
omar.mukabana
Omar Mukabana :
naomba xana babangu arudi kwa mwenyezimungu lnxhallah
2026-09-29 14:52:01
12
cheusimangara3
𝐂𝐡𝐞𝐮𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐚🩵 :
Takbri
2026-09-29 14:21:47
10
fatma06887
fatma06 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-29 18:09:59
5
smosmo28
smo smo :
ALLAH FORGIVE US
2026-09-29 16:33:06
3
tiyeetaleb
Tiyee Taleb :
sheik Adnan Amin is class Apart
2026-09-29 17:35:59
1
ismamugagga5
ismamugagga :
may Allah guid u sheik
2026-09-29 15:17:42
2
faadhilmustafa
Abu afan :
Allah akuhifadhi sana ustadhi na akupe mwisho mwema
2026-09-29 16:37:27
2
abdulblackamerica
Abdulrahman Said942 :
huyu ndo shekh wangu
2026-09-29 17:51:21
1
meriihassan2
bint said928 :
mashaallaaaaah
2026-09-29 14:54:25
0
2me043
𝓜𝔂𝓼𝓽𝓲𝓬 𝓑𝓪𝓫𝓮 :
Allah akbar😢
2026-09-29 14:41:41
4
user7155230768199
Arme :
Takbir 🔥🔥🔥
2026-09-29 16:39:21
1
user1240735267991
Ahmed Waiga :
Amin 🤲🤲🤲
2026-09-29 14:15:59
2
jpwela
Jpwela :
Amiin
2026-09-29 14:25:51
2
kakamegq
laban :
Amin
2026-09-29 14:16:58
2
said_39397
said_ :
mashaallah.
2026-09-29 14:17:17
2
laitaboysniper
Laita boy 🎤🎤🎤 :
🤲🤲🤲 Allah
2026-09-29 14:22:03
2
.oddo.matata
👊 Tozzy Msafi🏄‍♂️ :
Salah
2026-09-29 13:09:50
2
bodyglowdetox
BODY GLOW&DETOX :
Wallah hakika Ya Rabb 🤲🤲. Ewe Allah tustiri Mola wetu Mlezi
2026-09-29 16:38:50
2
jumakayeye
6060 :
Allah atusameh madhamb yet Aamyni
2026-09-29 15:53:56
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About