@breezt4: Unaweza Kuzaliwa na kukulia kanisani na Bado Usiione Mbingu -Padre Rogasian Msafiri- Fuatilia Mafundisho haya ya Roho Mtakatifu na Maisha ya Mkristo kwenye Youtube Channel yetu ya Breez Online Tv yaliyotolewa tarehe 26 September 2026 kwenye Warsha ya Waumini walei jimbo kuu la Dar Es Salaam #KanisaKatoliki #Tanzania #mkombozicommercialbank #BaloziwaAmani #woisooriginalproducts #breezonlinetv #news
Tusijisahau watumishi wa Mungu, Tumsifu Yesu Kristu
2026-10-02 10:09:21
1
Paulo Mashauli :
amina
2026-10-01 16:34:29
1
mary finical servers :
ukweli kabisa
2026-10-03 18:44:55
0
shitubi yakobo :
asante kwa ukukumbusha baba
2026-10-01 17:58:24
1
nurugirl :
Amina baba paroko
2026-10-02 09:56:26
0
Tekno Popo :
Mwenyezi Mungu Atusamehe na Atuongoze kwa Kila Hali..
2026-10-02 20:34:35
0
user8460530162837 :
ni kweli baba padre
2026-10-01 10:29:06
1
yasinta :
Hii kitu inefichika sana wakristo wengi kanisani ni ratiba tu lakini hata hawajui wanafanya Nini ndio maana maisha yao Kila siku yamedumaa na wakimuona mwingine anajibidisha kumjua Yesu utasikia huyu ameasi sasa hapo Mungu yupi mnayemwabudu jamani Yesu nisaidiekukujua na kukupenda daima
2026-10-03 13:42:15
0
sofia :
mungu naomba uniongezee imani
2026-10-03 12:00:11
0
Rafael Saidi :
mungu akubalk
2026-10-01 15:13:37
0
John Bosco :
barikiwa baba kwa neno zuri la kutia moyo na kutukukmbisha kama wakristo🙏🙏
2026-10-02 08:45:31
0
Chriss Kisilu :
Amina
2026-10-02 10:57:37
0
liberatha ngemera :
ubalikiwe Sana Baba kwa mafumdisho yok mung akubalik san
2026-10-02 15:29:04
0
RICHARD NGOWI :
Amina
2026-10-02 19:00:05
0
marychonge785 :
amina🙏🙏🙏
2026-10-03 17:05:58
0
hellen :
amina
2026-10-01 18:27:31
0
Mathew Theodory :
Amina
2026-10-01 19:11:32
0
Agy Marcely :
Amina
2026-10-01 16:17:34
0
EXISTENCE FOR PURPOSE :
Kwa kweli
2026-10-01 17:08:15
0
Rose 🌹 cosmetics :
amen
2026-10-03 22:47:13
0
lorapis :
[Pray][Pray][Pray]
2026-10-03 03:57:47
0
Ms —tee🌸 :
👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-10-02 08:17:05
0
clever :
[Pray]
2026-10-01 14:31:20
0
Gabilicious Outfit :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-01 10:57:09
0
To see more videos from user @breezt4, please go to the Tikwm
homepage.