@millardayo_: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewataka Vijana kufanya kazi kwa bidii na kutokubali kudharauliwa, huku akitumia msemo unaotumiwa na Msanii Dudu Baya, "You Better Watch Your Back," akiwataka kujilinda. Makonda amesema hayo leo Septemba 29, 2026, alipotembelea na kukagua Uwanja wa Engutoto uliopo Njiro, mkoani Arusha, na kujionea maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo. Katika ziara hiyo, Makonda ameshiriki shughuli mbalimbali za ujenzi, ikiwemo kusambaza vifusi, pamoja na kuzungumza na Viongozi na Mafundi wanaoshiriki katika ujenzi huo. "Kila Mtu akomae, hata kupata Mwanamke mzuri lazima ukomae, msikubali ndoto zikatike, Wazazi wanawategemea na ukizeeka utahitaji matunda ya kazi uliyofanya, asitokee Mtu akudharau, hasa ujana wako, tusichukuliane poa, ukidharauika hata kwenye mambo ya maana huku unakula bure, you better watch your back," amesema Makonda. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 13:11:26 GMT
Music
Download
Comments
Shebby :
wabongo, sio flyover ni footbridge
2026-09-29 20:00:49
0
✨✨millito💫 :
kingine mheshimiwa na sis madeleva WA school bus tunaomba wazazi wapunguze MAJI kweny juice za watoto
2026-09-29 14:26:15
25
Ephata John :
flyover Sanawari,Mianzini au Friends conner
2026-09-29 17:52:43
0
Burhan sadik :
My brother! don't just work hard, work smart
2026-09-29 13:44:03
0
Ngashona :
pomakonda
2026-09-29 13:48:13
0
Melkizedek Aberdnego :
Ooh my God
2026-09-29 19:52:53
0
Kenny :
si mpaka
2026-09-29 15:41:05
0
ginga boy :
ifikee mahali wasoma comment 2lipwee hii kazi inachosha sana😂😂
2026-09-29 13:58:35
6
wizz9 :
fly over au madaraja ya juu🙌
2026-09-29 15:02:49
0
mpingashari :
waziri anamjua DEMUU
2026-09-29 13:26:24
4
Matengenezo nakukubali sana br :
tunataka kimoja kiishe kwanza.yaani stendi imjengwe kwanza.haya unayo ongea hujakosea sawa,lakini viongozi wengi kama wewe wanaongeaga tu hivo.lakini hatuoni vitendo mpaka wanaondoka madarakani
2026-09-29 14:35:02
1
Wadi Ame :
Waziri nimekukubali unajua kucheza na akili za vijana
2026-09-29 14:15:56
6
minah :
Ni kweli kabisa usikubali mtu yoyte adharau ujana wako 📌
2026-09-29 13:27:45
8
KENNY VISUALS :
YBWYB
2026-09-29 13:23:09
2
NATURE HOPE TOURS :
Aliyeona I phone 17 yenye cover la Simba tukutane hapa.
2026-09-29 15:08:00
3
Erick26 :
😂😂😂Komaaaaa
2026-09-29 13:32:48
1
Dark-mode :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-29 15:27:02
1
Brighton Thomas :
unaweza kukuta hao wafanya kazi hapo wanafurahi wapo na kiongozi lakini Bado Kuna vibarua wanalipwa elf 15hapo hapo . maisha yetu hayaendani na uhalisia hofu yetu ipo kwenye kulala njaa na sio kuangalia tunapoenda . noma sanaa😡😡
2026-09-29 16:50:47
1
bmb fb :
ahaaa mungu akulinde makonda asante
2026-09-29 19:07:50
0
Kerende Murefu :
Paul Wakanda forever
2026-09-29 19:01:10
0
Claudy Mkoma :
ujumbe mnzuri vijana tumbane2uh💪👊
2026-09-29 22:33:51
0
Petronila Emmanuel :
mungu akupe maisha marefuuu kiongoz
2026-09-29 21:01:01
0
hajh :
siku moja uwe raisi wa nchi hii
2026-09-29 19:39:54
0
@mnaha og :
ila makonda heshima salute
2026-09-29 19:09:32
0
meshack madaha :
Kweli
2026-09-29 20:11:35
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.