@hassan_mohamed_24: Ifahamu jezi iliyostaafishwa pale AC Milan. Ndugu zangu ninaiomba support yenu kwenye social media apps zangu nyingine kama; Facebook Instagram YouTube Naomba mkanionyeshe support kama mnavyonionyesha support yenu huku Tiktok. Jina la account zangu huko kote ni Hassaninho Modinho. Asanteni kwa kunisapoti, Mungu awatakabalie kila mahitaji ya nyoyo zenu 🤲🙏❤️ #francobaresi #hassaninhomodinho