@fathia430: Shikamoo mwenyew 😂🙌😂😂#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

Hayat closet 🛍️
Hayat closet 🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 14:05:17 GMT
166477
6414
661
803

Music

Download

Comments

gritelusubilo1
gritelusubilo :
tena unakuta mtu mnalinaga au umemzidi kidogo tu yy akawai kuzaaa anamwambia mwanae msalimie bibi..jamaniiii nini iki
2026-10-22 15:56:30
88
user9135182700546
anitha jailes :
Mim ata unizid naitikia vizur2😄😄
2026-10-30 10:16:01
1
asmahghzzyi
shany :
mi mtu akinisalimia namjibu "marahaba shikamoo" staki ujinga
2026-10-22 11:11:45
73
abigail.salumu
Momy boys💋💙 :
Me nikikaa na mume wangu wananiamkia mm yeye anapeza za saizi jaman hadi anawaambia mkewangu mdogo wa 2000 niamkieni mm wanakataa eti mbona anaonekan bibi asa mtu asinenepe jaman😂😂😂😂😂
2026-10-22 07:53:30
36
.ley263
🦋 ley 🦋 :
me huwaga siitikii😂😂😂
2026-10-22 12:29:09
15
salma.ali3595
Ramadhani juma :
mi kuna siku nikimsalimia dogo kabisa siku iyo nimevurugwa hela sina sielewi naenda wap baada ya kuliza njia nashangaa nikasema shikamoo
2026-10-21 22:04:24
21
malkiadance3
Malkia :
ninamiaka 19 nasalimiwa namtu aamiaka25 dah
2026-10-21 18:19:07
33
happymzagila05
Happy Mzagila :
unakata stimu kinoma Kuna jirani yangubonge ivi tena linakazana dada happy shikamoo najifanya sijaskia atakazia mara tatu tatu da flan shikamoo mie tena marahaba mtoto mzuri😂
2026-10-21 21:59:25
17
umm.sudaisi.bint
Umm sudaisi Bint zaydi :
kuna limama uku la miaka 40 linanisalimiaga naliangaliaga nacheka mpka bc lingejua ni mamaangu kabsa lisingedhubutu kamwe kunisalimia
2026-10-21 17:33:55
12
getrudamwambatz
madam G collection 👠👗💄👜 :
ndo kinachonikuta huku Arusha hadi najuta kuja kuishi huku unakuta libaba jitu zima eti linanisalimia mm Shikamoo mazaa wananikera🤣🤣🤣
2026-10-13 19:54:01
7
edina.minja
Edina Minja :
Kuna muda narudigi nyumbani najitazama kwa kioo tena mara 5 😂😂😂 maana najiuliza iwiiii
2026-10-21 18:45:36
27
haylat78
haylat :
mim Kuna mtu nafanya nae kazi jaman ni mtu mzima km mm kwny miaka 32 hv mwanzo alikuwa ananisalimia mambo ..majuz kaanzisha tabia yakuniambia shikamoo bi mkubwa 🙄🙄🙄hv ht km labda nimemzid miaka 2 ndo niwe bi mkubwa wake kwel???tena haswa akiwa na watu hv ni dharau au kutokujitambua kwakwel ananikwaza na sitak kbs
2026-10-22 13:58:38
18
user6156594177715
muh🥰 :
mm ndio maana sisalimiagi ovyo yaan wengi nawasalimia walioniona toka nipo mdgo wengine nawaambia habari za sahz maana najijua mm mwenyewe mwili mkubwa kushinda umri
2026-10-21 17:54:09
9
kidotiofficail421
kidoti official💞💓 :
🤣🤣🤣yan mm kuna mda adi naenda kujitazama kwenye kioo au nimezeeka sura maana unakutana na m2 anakusarimia adi moyo unashtuka
2026-10-24 16:37:18
6
sapnawasudy
sapnawasudy :
mimi nakimbiliaga kwenye kioo nione nimekuaje
2026-09-30 10:31:27
7
catherinesteven68
Catherine Steven :
ataa mi. cpend tabia hii najickiaga vbayaa kwel
2026-10-10 20:36:37
10
eunicecharles755
Eunice Charles :
wananiuzi😁😁😁😁
2026-09-29 17:38:22
7
gwendolinebaraka3
Gwendoline Baraka :
Bado konda hajakuita mama mkwe😁😁😁
2026-10-23 15:25:05
5
remmy0794
Remmy 🦋❤️✅ :
Lazima akuambie shikamo maa una hili wala lile 😂😂😂😂
2026-10-21 11:41:16
6
user617392038179
🌸Yunaitham 🦋 :
sio kulingana tu mwingin kakomaa et shikamoo yaan naitika tu sa nitafanyaj
2026-10-22 10:11:31
5
aggy7361
Aggy :
Hapo Kuna mambo hayo✌️, kwanza hyo shkamoo inakuijia hadi Ndotoni 😂, Pili utakuwa umebakiza kuambiwa tu Shangazi shkamoo 😅🤣 Uwiiiih 😳🤒
2026-10-21 20:29:53
7
madamumerrymadeha
madamumerrymadeha :
kwani shida iko wapi itikia tu🤣🤣🤣🤣
2026-10-20 15:57:58
9
aminawaziri86
aminawaziri :
tena anaita mara tatu tatu mama mama bai mama teheeeee
2026-10-21 13:38:07
5
user2821285368281
Anna :
mnalingana au kakuzidi kabisa utasikia shikamoo ila watu kujishusha umri 😂😂😂😂
2026-10-24 13:54:00
7
khadijahramadhan87
MrsMuu :
Mimi ninashoga angu tunalingana kila kitu mwaka wa kuzaliwa mwezi lasoro tarehe ana watoto wawili na mimi ninao wawili lakini tukikutana ananiambia mama saad shkamooo na mimi tena harahaba hujambo
2026-10-22 12:33:59
14
To see more videos from user @fathia430, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About