@fycargotanzania: Bidhaa inaweza kuwa na bei nzuri, lakini ukinunua bila kukadiria usafirishaji, mzigo ukifika Tanzania gharama inaweza kukushangaza. Na ukiagiza parcels kadhaa harafu ukasafirisha kila moja peke yake, unajiongezea kazi ya kufuatilia mizigo mingi. Kabla haujalipia, tumia Cost Estimate kwenye www.fycargo.com kupata makadirio ya usafirishaji. Parcels zako zikifika warehouse China, tumia Combine Transhipment kuziunganisha kabla ya kusafirisha. Unataka kujifunza kuagiza China hatua kwa hatua? Jiunge na WhatsApp group yetu kupitia link iliyo kwenye bio. Kama una bidhaa unayotaka kuagiza, tupigie 0740190937 Na tufollow kwa tips zaidi zitakazokusaidia kufanya maamuzi kabla hujatumia pesa zako. #FYCARGO #taobao #ChinaToTanzania #biasharatanzania #shipping

Fycargo Tanzania
Fycargo Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 14:38:55 GMT
3814
119
15
14

Music

Download

Comments

tm_ladiesshoez
👠TM LADIES SHOEZ :
kweny pinduoduo nawezaje kujua sasa kama huyo supplier sio tapelii natakiwa kuangalia vigezo gan kabla ya kulipia bidhaa
2026-10-01 09:46:16
1
fridah.heri
Fridah💜 :
nikishajisajil kwenye flycargo taarifa zang tayar mnakuwanazo au mpk niwapigie tena
2026-10-20 16:59:39
1
official_richkaka
Rich_Kaka. :
mimi nitajuaje kama mzigo una kg ngapi au volume gani maana supplier haweki hizo details
2026-09-30 14:37:55
1
no_body117
no_body117 :
hv mnasafirisha vitu vya kula kama vile biscuits, chocolate, pipi na pia supplements
2026-10-27 10:34:04
0
beatrice_corner05
beatrice_corner05 :
hzo kg na m unazijuaje
2026-10-30 05:20:31
0
jay.young989
jay og :
Dada yangu naomba uwaelezew international commercial terms (INCOTERMS) Kama vile FOB,CIF, EX WORK Maana wafanyabisahara wanaagiza vitu kutoka nje na hawazijui wakati zina influence kutoka kwa supplier Hadi customer alioagiza mzigo elimu inahitajika kwa wafanyabisahara 🙌
2026-10-27 15:16:40
0
tnation27
tnation27 :
👍👍👍
2026-09-29 14:40:42
1
cleoparita_7
cleo🤍💜 :
👏🏻👏🏻
2026-09-29 16:36:51
1
To see more videos from user @fycargotanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About