@chipupute8: 🥥🔥 VIKOKOTO VYA NAZI 🧺 Kwa ajili ya kukanda 🌾 Unga wa ngano — All-purpose flour: 1 kg 🍚 Sukari — Sugar: vijiko 3 🥄 Baking powder: kijiko 1 🧂 Chumvi — Salt: kiasi 🥥 Tui la nazi — Coconut milk: kiasi cha kukandia 🍯 Kwa ajili ya shira 🍚 Sukari — Sugar: 1 cup 🧂 Chumvi — Salt: kiasi 💧 Maji — Water: ¼ cup 🥥 Coconut flavor: kiasi #VikokotoVyaNazi #chipupute #Mapishi #TanzaniaFood
Chipupute8
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 14:53:15 GMT
Music
Download
Comments
Happy Mangowi :
vyangu hivyo hapo
2026-10-12 10:18:21
21
naj abby( najkitchenware) :
nimewaiii
2026-09-30 08:55:22
15
sisy jacklyne :
na visiting je tunaweza tumia hiy hiyo recpt ya vikokoto
2026-09-29 15:09:17
13
Mwalimu Jiko | Mapishi :
Yani mimi nikikutana na video yako chipupute lazima nijaribu nitarudisha jibu leo 👌👌 maneno yananikosha zaidi mimi 🙌🏼🙌🏼🤣
2026-10-02 10:02:40
6
Ms shammie👄 :
Day one 😋
2026-10-03 16:06:02
3
shaa interior :
kilemba kimehamia mabegani[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 15:56:18
3
Zuu b@b¥ :
Nipo busy na maneno kuliko recipe😥
2026-10-23 07:56:27
2
𝑹𝒆𝒗𝒊𝒗𝒂𝒍🥹🌸 :
Mwalimu nimewezaaaa🥰🥰😂
2026-09-30 15:58:40
6
Riri :
naomba
2026-09-30 12:09:43
1
Daddy Shebby :
kuna namna nahisi naelekea kua master kama wewe mkali
2026-09-29 16:47:42
2
RAHMA🍒🌸 :
Kama hauna Nazi??
2026-10-02 18:41:49
1
MAGIBO :
Weeee umepata majibu ya lile swali lako la serious kuhusu yanayoumiza moyo wako?
2026-09-29 18:31:45
1
RIA👑❤️🍎 :
umesem mwali kafanyaj 😁😂
2026-09-29 18:35:20
2
Maria Nzegula :
ukandii mafuta?
2026-09-30 09:59:34
1
Dayack pee📌🔐 :
second one 😁😁
2026-09-29 15:02:46
1
bintimacha :
utamu ni umeweka
2026-10-02 15:49:22
1
Malkia wa Viwanja Site To Site :
Hauna group la WhatsApp Boss uniunge
2026-09-30 07:49:48
0
it's.angie7 :
naomba uanze kutuuzia sisi wavivu kupika😁
2026-09-30 06:03:54
1
yan nakupenda bure unanikosha vpi na madiko diko
2026-09-29 18:58:06
1
ommy designer :
Sukari kijiko k1 kokoto zitakosa utam nmeona kikombe cha sukar😁
2026-10-14 08:51:25
3
Tauhida msingwa :
top 10 nipo
2026-09-29 15:06:54
1
Zulfa Omar :
hapo sasa leyo nimefurhi lkn mambo ya kimya kimya icho vip😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-10 08:42:44
2
laylah mohammad :
ubqrikiweeee
2026-10-30 20:55:19
2
little_naah🧸✨️🤎 :
nilipika vya tangawizi vikatoka km viafkeki vidogovidogo ila sukar ya nje ilikuwa vzur tu
2026-09-29 16:49:05
3
Islam Ali Ali :
Mashaa Allah Tabaarakallah 👌
2026-10-31 19:53:32
1
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.