jina la movie tafadhali,,,maana tz sikuizi nikama tamthilia ya kihindi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 20:07:41
0
. :
kumbe kuandamana inawezekana
2026-09-29 17:13:24
79
allynho🚥 :
Tang 29 October hii nchi haiko saw
2026-09-29 15:43:17
50
Ummy Ahmed :
a few moments later
2026-09-30 06:24:01
0
zed love :
29 ina nn jamni eeeewh[Starstruck][Starstruck][Starstruck][Starstruck]
2026-09-29 20:08:36
0
lonely¿ :
asaiv tz yetu tunajua kuichangamsha kama wakenya uko nairob
2026-09-29 16:07:08
32
hogra :
tungefanya iv ad 29october tungekuwa hatua nyingne
2026-09-30 05:50:47
7
John Mihayo :
jamani hilo changa lamacho..tu..serekari imefanya hivyo maksudi ili kutu zubahisha,tusiendelee na mchakato wakufuatilia maswala ya katiba mpya...tusiwe wajinga kiasi hicho jamani..
2026-09-29 16:01:12
21
Sariim Sariim👉 :
ih yote nikwasbab ya kiongoz mkuu kiatu hakimtosh💯
2026-09-29 22:11:34
13
mariana daudi :
anakuja[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 15:46:40
0
IT. :
Team Magufuli like hapo😭
2026-09-29 19:20:23
39
oziiiily umeme :
haya sasa [Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
tunamtaka .......tunamtaka
2026-09-29 17:00:36
5
peter :
ndiyo ndiyooo
2026-09-29 21:52:30
2
user8462498124940 :
Samahani Kwani mwigulu ni dereva wa basi la kwenda mkoa gani? Nisifokewe sipo sawa
2026-09-29 17:59:28
9
Steven mwasalemba :
saaaf huu umoja ndo unaotakiwa
2026-09-29 15:56:11
16
Valencia :
hapa inamanisha wananch wakiamua jambo lao huwez kuzuiya uwe rais uwe polis uwe soja uwe mgambo 😁😁🫡🫡
2026-09-30 06:45:53
1
BABA DADY :
mambo yamekua mambo aseeee
2026-09-29 15:54:49
10
Rachel feytoto :
umoja huuu ndo unaotakiwa jmn
2026-09-29 18:04:28
1
@47 Raja Raja :
kumbe watu wakiamua wanaweza nahamsemi 🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 20:36:47
3
neithan :
ni wap hapo
2026-09-29 20:24:55
1
rama gama :
jahazi linazama hili nduguzangu watanganyika
2026-09-29 18:36:41
2
emilian🥰six :
kheeeee
2026-09-29 16:08:09
2
user5747100583611 :
nimewapenda bule
2026-09-29 21:09:58
1
mzamiruabdallah98 :
Simba bingwa 🤣😂
2026-09-29 15:52:46
4
To see more videos from user @aboodbustz6, please go to the Tikwm
homepage.