@kkkt_salasala_dmp: Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee Mithali 22:6 Mtoto akionesha uwezo wa kusoma mstari wa moyo kwa lugha ya Kiingereza katika Ibada ya Mikaeli na watoto iliyofanyika hivi karibuni. #ibadayajumapili #ibadazetu #kkktsalasaladmp #mikaelinawatoto