umesema jean gray with phoenix force ni powerfull than odin?👀...interesting
2026-09-29 16:44:15
0
Skywalker :
Bro hivi hivo vya comics napata wapi
2026-09-30 16:06:35
1
Brüder :
Tidiwa2 jau😂😅😂
2026-10-01 11:24:39
1
dH_💎 :
sasa tidiwa leo finally umerudi kweny point yangu ivi unakumbuka nilishawai kukuuliz kuhuc wanda na jean grey but ukaniambia wanda is best na mpk ukanitengenezeaga clip familier ukinipinga upande wangu wa me nilikuwa na kwambia kuwa jean grey ni powerfull den scalet wanda na leo umenithibithishia kwa kumweka katika nafasi ya Nne jean grey kwa heshma tueleweshane tuh siyo kwa ubaya one love familier💪🏽💥
2026-09-29 16:07:27
1
Nyandu grandboy 47 :
Me nataka kujuwa kuhusu dr Manhattan
2026-09-29 16:42:18
1
GWP :
bro ivi comics za marvel huwa unatolea wap?
2026-09-29 15:56:49
2
Humble Boy :
kubaaaaah yani anajipa gen duh 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-04 02:56:53
0
adam🍁🚍 :
kaka kwa heshima yako kaka naomba unifanyie moja villen Willson fisk King Pin pls 🙏 niliomba macreator weng waka zingua