@swald.wanaman: Kutokana na mgomo wa madereva wa magari unaendelea maeneo tofauti tofauti nchini, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga amesema lengo la kufika kuzungumza na madereva hao ni kuzia yeyote kuanzisha migomo. "Sisi nia yetu ni kutafuta wale wanaozuia, na watapata shida kwa kweli tukiwakamata hii ni lazima niseme ukweli, hagutacheza na hao watu. Hatuko kwenye kumuumiza mtu lakini tunataka tutambue kuwa kuna sheria taratibu na kanuni, lakini busara ndio hii tunayotumia kuwaomba" Alisema SACP Kuzaga. #swaldwanaman #new #busestanzania #magufuli #tanzaniantiktok🇹🇿

Swald Wanaman
Swald Wanaman
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 15:46:55 GMT
144859
7719
178
123

Music

Download

Comments

unstopable709
Mbappe Official #@ :
:sisi madereva wa school Bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye Juice za watoto
2026-09-30 04:06:35
22
michaelcossan
Michael Cossan :
A. Kwenye ukungu B. Usiku C. Kwenye mvua 🫪
2026-09-29 19:42:09
14
lonelider
Lone rider🏍️ :
A B C yote ni majibu
2026-09-29 19:53:05
7
sam.tz9
Mr.SamTz🙆🙆 :
sisi madeleva wa school bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye juice za watoto
2026-09-29 20:25:31
8
sadikisaleh959
DIKICHAMA :
Kulingana na swali ulilouliza, jibu lake, kwaenye ukungu punguza mwendo, kwa sababu kwenye ukungu hata ukifuta kioo kwa kutumia wipers, huwezi kuona mbele vzuri
2026-09-29 18:51:41
7
user2812561015319
msigwa Abery :
den la taifa lazima lilipwe kwa namna yeyote😂
2026-09-30 14:20:31
4
gideonnovack
G One :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman🙆‍♂️🙆‍♂️
2026-09-30 10:38:41
4
nicholausnoely
Nick :
swali mbona halijajibiwa ili tujifunze
2026-09-29 17:41:12
4
jitulamtumba46
BABA DADY :
hizo nyakati zote zakupunguza mwendo
2026-09-29 18:26:48
1
mohamedmtanzania0
mohamed mtanzania :
kwani latra ni nani anasimamia kama siyo serikali na mnasema wanatumia Sheria ambazo zinakizana na Sheria za barabarani
2026-09-29 17:57:58
1
franciskyando565
Faustine Mafwele... :
serikali ya ovyo hii ndo maana haitengenezi magar inatengeneza leseni
2026-09-30 04:13:15
2
doctaamosi
DOCTA phone lepair :
tz atuna uongozi imala kaziyao nikutishia tuu
2026-09-29 19:18:42
2
amonyabelly
amony official ✊✊🫂 :
hii nchi Kila kiongoz ana maamuzi yake na akiamua haipingwi
2026-09-30 05:11:20
2
nzeyalema
nzeyalema :
Hapo hapo kamanda kafeli kata point
2026-09-30 03:39:44
1
user9371662388410
kago boy :
kati ya serikali na andazi wakuu Mimi nachagua andazi
2026-09-29 19:07:49
2
moudric.balton
Balton pabllon :
ukwer nauwazi sasa, swali zurisana
2026-09-29 18:58:20
1
kulwanjango
kulwanjango :
umetisha mwamba
2026-09-29 18:06:50
2
robson22368
Robson :
Tanzania huwezi kupata haki hata ukitangulia mbele za haki
2026-09-29 19:33:28
2
hemedjmakanika1
[email protected] :
nguvu nying
2026-09-29 18:15:50
1
soudy_outfits
Soudy_Outfits :
Kamanda haelew Hyo ni closed question lazima ujibu kat ya hayo matatu😅😅😅
2026-09-29 20:43:33
1
salome.sebastian7
Salome Sebastian :
mbona ajajibu swali
2026-09-29 19:16:33
1
mrpresida
mrpresida :
E ukifika stand ndo jibu😅
2026-09-29 18:36:48
1
sadikisaleh959
DIKICHAMA :
Maswali ya udereva mtihani wa latra ni rahisi sana, swali limeuzwa, majibu yakuchagua, kama umesomea udereva kweli, unapata mia kwa mia.
2026-09-29 18:46:26
1
abdullmalick17
kalkutta :
KENYA HOYEE
2026-10-01 06:04:39
0
shada07897
SHADA = BRAND :
poleni sana nduguzangu
2026-09-29 17:52:41
0
To see more videos from user @swald.wanaman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About