@__davi1_:

Davi
Davi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 15:53:37 GMT
10254
858
72
14

Music

Download

Comments

gerson_tz
man of God✨ :
dhambi ni kuto kumwamin Yesu
2026-09-30 05:10:38
2
leethang_
Leethang tiger :
#SHAKEWELLBEFOREUSETOTHEWORLD
2026-09-29 17:48:56
2
cheddar_sack
Cheddar sack :
:Yesu anarudi wapendwa kuchukua kanisa lake. Usipuuze hii ujumbe ni wako
2026-09-30 12:35:34
1
ujuzikidigitali
ujuzikidigitali :
watu mnahisi mwenye dhambi ni mzinzi au mchawi. Kwenye ukristo mtu yeyote asiyeamini kua yesu ndie njia na ya pekee ni mwenye dhambi
2026-09-29 21:08:29
0
chumvi_02
Prosper_02 :
Kaka davi watu wasiojielewa kama hawaaa qwann wanakuumiza kichwa em achana nao endelea kutupa madini tunaojielewa tulioko nje ya box
2026-09-29 15:59:15
6
69cycle
Black Cycle :
hakuna asie na Zambia
2026-09-30 08:15:11
1
itsjoeclouds
H’s Joe :
Davi mzee wa fact nakuelewa sana mzeee🔥🔥🔥
2026-09-30 07:06:27
6
masharubumajaliwa
Masharubu majaliwa :
Nikweli nishat ya mungu aikai kwa wenye chuk nakubal
2026-09-29 17:40:05
3
daniihandsome007
𝕕𝕖𝕖 𝕝𝕒𝕤𝕥 𝕓𝕠𝕣𝕟☑ 😜 :
mkuu wenye ewelewa mkubwa ndo watakuelewa unamaanisha Nini ukiwambia watoke nje ya box ila kwa hii bongo dah Kuna wafuasi kibao wanaenda kula keki huko wanaambia ya upako dah natamani hata ungekua kiongozi mkubwa ili ulisema jambo lisipingwe
2026-09-29 22:21:06
2
biizzy472
official bizzy_🪽🍀 :
sahihi kabica bro✌️✌️✌️
2026-09-29 17:06:11
3
morris.gitonga30
morris the voice of truth :
davi wasiojielewa time yao inafika wataanza kuyasema wenyewe
2026-09-29 20:17:51
2
elonmusktz221
Elon musk Tz🇹🇿🇹🇿 :
brother usiangaike na Wala nyeto [Tears of joy][Tears of joy] kuwajibu
2026-09-30 06:13:42
1
mijuzo12
never give up :
sijui ni watu gani hao wanaohukumu wenzao as if wao ni wasafi sana daah
2026-09-29 16:01:41
3
estokiz24
Estokiz :
nyie mtajua wenyewe Kila mtu anatoa hoja Kwa kutumia hisia zake ana uelewa wake ila anae jua ukweli ni mwenyezi MUNGU pekee
2026-09-29 20:21:57
1
user2242586819097
tachoux elha bablokey :
🇧🇮🤝🏆 asante kaka
2026-09-29 17:08:59
0
dvj.bimbim
dvj Bimbim :
alafu ndio mnaitaji maendeleo kwa stahili hii maendeleo ni pamoja na ushirikiano pia
2026-09-29 16:49:14
1
mvinga.mvinga
Mvinga Mvinga :
Davi na abel nakubari
2026-09-30 18:55:20
0
haxhimhaakani
HAAKANI_PHONE_ACCESSORIES :
yesu yeye ni nani hadi aseme ni mwali nyerere au yesu ni dunia tunayoitegema kwa kila kitu
2026-09-30 18:35:55
0
user86198511821
VIRGO QUEEN :
hao kina yuda hawakuwa wema kihivo na aliwapenda pamoja hata ssisi tunaenda makanisan misikitini kuweka toba na njia nzuri kwetu
2026-09-30 16:51:39
0
user2884537333597
miraji mohammed :
ulikuwepo?
2026-09-30 09:59:03
1
user5129627797085
LEGENDARY :
ndio hap sasa
2026-09-30 20:54:42
0
mawazo.media
MAWAZO MEDIA :
ule ni wimbo kama nyimbo zingine hakuna nyimbo yamugu🔥🔥🔥
2026-10-01 11:51:28
0
salukonde5
0625793550 :
nmechukua point9 upendo uzd chuki,lkn chuki imed upendo
2026-09-30 17:35:49
0
fatmah75750
Fatmah7575 :
kumb yes so mungu ok
2026-09-30 13:01:28
1
immamgunya
Emmanuel 🎓 :
mi mwenyewe sin dhambi
2026-09-29 17:43:22
0
To see more videos from user @__davi1_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About