You are too concerned guys😂 kwani akienda motoni yeye mnaungua nyie?…y’all do whatever you think it’s right. Vipi kama ushauri wako nao sio sawa how sure are you kwamba wewe ndo upo sahihi? Yani who are you guys to conclude makosa ya watu.
2026-09-29 22:25:06
8
dasky :
sinners judging fellow sinners for sinning different
2026-09-30 09:30:21
30
mary nikutusya :
kabisa dada yesu hachangaywi na uchafu wowote
2026-09-30 07:44:06
39
Yusra Issah :
mm nilikuwa nashaur wakati mnaotumia kumhukumu mtu mngetumia huo muda kutubu madhambi yenu maana kuna watu wanajiona ni mungu watu
2026-09-30 06:08:54
138
elisha jiun :
ko ule wimbo wa 'say yes' wa Beyonce mnaoupiga kanisani mnamjua Beyonce ni nan?
2026-09-30 02:33:56
48
userhilda :
umenene vyema
2026-09-29 17:53:49
75
SWEYA JR10 :
kwa kujihesabia mema ndo mko vizuri
2026-09-30 07:56:33
41
Bossladyy :
Kweli kabisa ila bongo ukisema ukweli unachukiwa jmn
2026-09-29 21:29:51
24
official Reeykim🤍🥰 :
Acheni kuhukumu watu nyie msijifanye Mungu watuuu
2026-09-30 06:57:43
19
Maggie 🌧️🎹 :
Shalom shalom Sasa inatosha [Pray]
2026-09-29 18:27:59
2
nurut18 :
msihukumu jamani kwani tatizo ni nini mbona tunabaguana?
2026-09-29 18:15:23
36
messiahassan :
trust mom betrce
2026-09-29 20:48:08
1
Fetylizer :
jamani sio nyimbo zote ziwe na neno yesu
2026-09-29 21:30:29
5
BISHOP PROPHET A.P CHUWA :
Weembie
2026-09-29 18:05:15
4
Anthony kfk""🤪 :
yes nice sister
2026-09-29 18:07:33
8
user8169034771491 :
Wew umesaidia wangp wenyeshida nahapo mungu ndo huangalia
2026-09-29 17:53:32
6
Jaha :
Amina
2026-09-29 18:02:04
3
nurut18 :
aliimba na barnaba mbona hamkusema kwanini diamond acheni ubaguzi
2026-09-29 18:16:58
11
Light❤️ :
Mtukuze wewe YESU MDADA
2026-09-30 08:09:58
11
moureendully :
Mnawashwa jamani mashabiki tunaipenda nyimbo yetu 🥰🥰🥰🥰
2026-09-29 18:14:13
23
Moses Kusaka :
huyo Joel sio diamond tu
kuna wimbo unaitwa Sayuni ameimba na Banarnab boy
2026-09-30 06:44:32
6
ASIFIWE NDIMBO :
Barikiwa
2026-09-29 17:19:06
8
Annie Paul💙💙 :
Ni kweli kbsa mama sema ssiv waimbaji hawamuimbii Mungu tena,, bali wanafanya biashara ya nyimbo kwa kivuli cha gospel.
2026-09-29 18:33:12
13
lavethkilumbe :
ameeen mama yangu B hongera sana
2026-09-29 18:17:02
8
To see more videos from user @binamuupdates, please go to the Tikwm
homepage.