kweliiii hapoo kabixa wanaoamini uislamu ni dini ya kweli gonga like hapo
2026-09-29 17:19:30
793
Gamers🎮🎮_boy☠️ :
TUMSWALIE MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
2026-09-30 08:00:47
771
emineh52 :
Proud to be Muslim
2026-09-30 04:07:24
171
Omary Mashavu :
mwijaku Katika swala la kuitetea dini yake yupo vizuri namkubali sana
2026-09-29 19:09:34
1786
Chesco Babloo :
wakristo munasema yesu ni mungu.
waislam wanasema yesu ni mtume.
2026-09-30 05:19:22
20
Chily Banka :
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na hafanani na kitu chochote
2026-09-30 05:23:40
172
Amour🥰🥰 :
Mwijaku Mwijaku, Mungu hajazaa ila Yesu Kristo alizaliwa na Bikra Mariamu kwa njia ya Roho Mtakatifu.
Mind you kwamba Mungu ana nafsi tatu
1.Mungu baba
2.Mungu Mwana
3.Roho Mtakatifu nafsi hizo zinatenda kazi kulingana na mission
bila kuwa na Roho Mtakatifu wa kukufunulia haya huwezi ukaelewa chochote apa.
2026-09-30 14:45:21
13
Chanight Waleo :
sahihi sana leo mwijaku nimekupenda bure[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-30 12:45:47
2
Free Palestine :
Umetuwakilisha Mwijaku🫡
2026-09-30 13:24:48
41
D schneiderlin BP ✊ :
❤️power to Muslim 💯💪 mwijaku nimependa point 🇰🇪🇹🇿🇺🇬 support
2026-09-30 19:53:16
0
Thomas :
Binadamu wote tu watoto wa Mungu maana yeye ndyo muumba wetu
2026-09-29 18:15:56
9
Daudi :
Marko 2:5-12 yesu anasamehe dhambi sasa jee kusamehe dhambi sio mamlaka ya mungu?????? Marko 2:5: Yesu anamwambia yule mwenye kupooza: “Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.”
* Marko 2:6–7: Waandishi waliokuwa hapo wakaanza kuhoji moyoni: “Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, Mungu?”
* Marko 2:8–10: Yesu alijua walichokuwa wakifikiri, kisha akawauliza kama ni rahisi kusema “umesamehewa dhambi” au “ondoka, jitwike godoro lako, uende.” Kisha akasema:
“Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi…”
* Marko 2:11–12: Yesu akamwambia yule mtu ainuke, ajitwike godoro lake na aende nyumbani. Akasimama na kutembea mbele yao.
2026-09-29 19:04:34
7
WAMANTA5🦺🦺 :
ALLAH Akulipe kheri DC Mwijaku
2026-09-29 19:06:40
16
Mom Zafar❤️ :
waislam Taqbiiirrr
2026-09-30 18:17:41
0
itsHaidari :
Mwijaku acha hizo mambo unakosea pia
2026-09-30 05:33:42
6
بصر 🎓 :
leo nipo nae
2026-09-30 17:13:30
0
🤍 :
nonsense
2026-09-30 17:42:52
0
THE POWER OF ZERO PLUS+ :
mwijaku siku sio nyingi utamkiri Yesu maana bado una mungu Tasa asiye zaa asiye weza yote ,anayeshindwa baadhi ya mambo na kuweza mambo fulani
2026-09-29 16:28:04
7
goldfamous :
YESU NI MUNGU
2026-09-29 16:24:32
73
Broken :
hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
2026-09-30 11:17:55
24
zawadisalum831 :
yesu sio mugu ataenda kuwakana mbele ya mola wake
2026-09-29 18:20:59
134
Dady Nono🙏🔥 :
SAWA LAKINI FINAL PALAPANDA MTAONA ATAKAE KUJA NINANI
2026-09-29 19:19:10
5
elizart :
nakubaliana na mwijaku yakwamba MUNGU wawaislam na wakwetu wakristo nitofauti kabisa kwamaana MUNGU wao kawaruhus kwenda peponi kutenda dhamb lakin MUNGU wetu katuambia mbinguni tunaenda kumwabudu yeye milele kwahiyo nimungu wawili tofauti kabisa
2026-09-30 04:21:06
12
Agness Nkugwe :
Kweli hatuna Mungu mmoja. Yesu Kristo ni njia kweli na Uzima. hayo mengine sio yetu.
2026-09-29 21:49:20
21
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm
homepage.