@mchimbajishujaa: #MchimbajiShujaa #UchimbajiMadini #Wachimbaji #MigodiTanzania #DhahabuTanzania

Mchimbaji Shujaa
Mchimbaji Shujaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 16:28:40 GMT
1334617
35851
1021
966

Music

Download

Comments

regina.4207
Antony princess 💕💙 :
kwa nn kuna kuwaga na nyoka kwenye dhahabu mara nyingi 😳
2026-09-30 06:57:40
1418
user6547666243101
tinah paul :
mbn hii dhahabu inang"aa kabla haijapitishwa kwa moto
2026-09-30 13:07:19
683
sophilov04
🌺Sophiélovœ🌺 :
Wengi mna sema kwenye dhahabu kuna nyoka cjakataa lakin huyo c nyoka ni plastic ya nyoka bandia nyoka gani hafurukuti 😳😂
2026-09-30 20:31:44
547
houseofwigsbydayness
House of wigs KIGOMA :
Kwani siku hizi dhahabu zinakuwa zimechongwa kabisa 🥹🙌🏿
2026-10-06 14:58:06
230
bint_yenu
🦋🦋binti mpole🥰 :
hii ardhi si ya dhahabu,
2026-09-30 16:48:20
145
jeniphermatowo3
Jenipher Matowo :
Kwahyo hatakiwi kuuwawa
2026-09-30 09:54:35
141
godfreyjohn725
godfatherTz :
Sasa hiyo ni dhahabu au ni sanamu za rangi ya dhahabu ndugu zangu
2026-10-01 20:04:29
93
manyanga5a
MANGi :
Muda si mrefu atalia Mtu
2026-09-30 16:38:53
29
u.s.e.r.i1
𝘂𝗻𝗸𝗻𝗼𝘄𝗻_Vibes🪰🌴 :
Najiuliza nani aliweka madini uko chini ya ardhi au dhahabu
2026-09-30 14:59:35
78
rossette2560
Rossette-Kaey :
Those snakes are motionless. Probably toys
2026-10-02 22:35:07
8
nshomile5
🛋️NSHOMILE🪚 FURNITURE 🔨 :
Dah niwe nachimba nione nyoka weeh dhahabu nahacha hapo hapo naanza kukimbia kama kichaa vile
2026-09-30 12:03:19
32
neyotz1
Ne-Yo Tz 💯 :
Nimewaza Sana
2026-10-03 12:00:28
8
kanali47
Kanali 47 :
kuna mtu kasema ukiona nyoka ujue kuna madini mna uwakika au mnataka nibomoe nyumba ya watu nipate laana
2026-09-30 19:33:41
32
jenivivalfred
jenivivalfred :
huyo sio nyoka bana na hii ni content 😊
2026-09-30 10:16:16
81
user4584520434141
Anordi mbutra :
madini gan yamekaa kama sanam
2026-09-30 18:43:42
14
tkidoti02
treasuremahal🌹🥀 :
hv hay madin yalifikaj fikaj hum chin
2026-09-30 14:10:43
12
46aneth
@@Anethjanuar# :
pesa haihitaj mtu dhaufu
2026-09-30 12:25:54
7
user1507391267865
Tina Tina :
mume wangu tumetajilika
2026-09-30 18:26:47
9
swaumathuman966
Swaum Athuman :
Ivi Kuna dhahabu ya asili kabsa kutoka aridhini inakuja na umbo LA kitu au vitu Kam hapa mfano wa mnyama? naomba kujua.
2026-10-03 12:03:07
32
candymoen3
A.L.I.C.E🇨🇳🇹🇿 :
PESA HAITAKI MUOGA NDO HII
2026-09-30 22:55:41
5
user1252258168403
bby swau :
naomba unioe tafadhali😂🤣😂😂
2026-09-30 17:26:17
5
user8683442538455
Miss kajala :
ila mungu uyu ana maajabu yake swali izo zahabu kaeka nan uko
2026-10-16 09:18:12
9
user2267916197916
rebeka :
jaman na nyoka tena mungu awalinde wanaume wote 🙏🙏🙏🙏
2026-11-17 12:36:18
8
momelly09
Elly :
Jamani madini ndo yapo kama yamechongwa, naomba kueleweshwa
2026-10-04 17:10:48
5
To see more videos from user @mchimbajishujaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About