mm niliota baba angu kafariki na niliposhtuka kukaa dakika napigiwa sim baba kafariki
2026-10-02 07:41:08
13
second 2 zone :
yaani ni mimi kabisa
2026-10-02 09:27:04
15
Mama Fenty🫧🍧🍨 :
Mimi ni miongoni kabisaa
2026-10-04 08:32:34
2
sleeping baby...!😜😝 :
naomba kufunguliwa juu niko hivyo kabisa
2026-10-01 14:37:15
11
Bilha jean :
shukran Mungu... aki mnifunguwe😭😭😭
2026-10-02 14:10:00
5
Sayra :
Mimi hapa nikiwaza tyu lazima kitokee kama nilivyo waza
2026-10-02 09:06:25
8
Kerubo Dama Motas :
mungu nifungue amina
2026-10-02 13:53:27
4
min boke💞💞 :
atakaye tufungua n nani sasa
2026-10-02 17:25:15
1
mtoto wa baba 016 :
naukiota doto nakesho yake inajirudia
2026-10-02 22:48:55
1
MATILDA💕NIHAT :
nifungulie Dr. sule tafadhali niko ivo
2026-10-02 14:25:49
1
queen :
NCHUKUE HATUA GAN KWAN HATA MUDA MWNGNE NAJIOGOPA SHEKHE WANGU👌
2026-10-02 13:25:30
1
Shanti aush :
mm hapa na shukuru sana Kila kitu nawaza inatokea hapo hapo nilifikiria rafiki yangu wa zamani namwona ametokea natamani sana nifunguliwe
2026-10-02 10:52:35
1
nasrasuleiman55 :
mimi hapa naweza kuwaza Fulani na siku sijampigia haishi dakika ananipigia mwenyewe
2026-10-02 10:32:26
2
Bint Hamza ♥️ :
Ameena mungu anisimamie
2026-10-02 13:32:15
1
Marry Jonasy :
🙏🙏🙏 Nashukulu sana kujuwa inanitokeaga mara kwamara
2026-10-02 15:59:31
1
user8461727984372 :
hata nikimuwaza mtu tu dk anapiga sm
2026-10-01 16:01:11
2
TOTO FASHION STORE :
Niliota mume wangu anatembea na dada wa kazi asbh yake nikawakuta choon😁Na kuna tym naeza waza kitu kimoyo moyo vinatokea kuna tym naogopa juu vitu vingine vinakua vibaya🥺
2026-10-04 04:31:14
2
Abigail :
Niko hivyo waenza nifungua
2026-10-01 14:22:54
3
To see more videos from user @doctor.sulle.isla, please go to the Tikwm
homepage.