@sylum33: #mombasatiktokers #kenya #fyppppppppppppppppppppppp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok

sylum33
sylum33
Open In TikTok:
Region: CH
Tuesday 29 September 2026 16:40:11 GMT
463435
31490
6006
729

Music

Download

Comments

fitnesskwanza
Bravo_Mbalikiwa :
Wanapita wengi kuingia na kutoka kuona uzuri wa nyumba 😁
2026-09-30 11:56:28
1416
kaumbya6
𝓜𝓻𝓼🍎𝓙𝓕 :
ushindweeeeee sio zote😂😂😂😂😂😂
2026-09-30 05:18:35
177
zainabsaleh6912
Mrs~ me :
Kwasababu kila mt anaitamani aingie
2026-09-30 02:12:54
420
reymandy27
reymandy :
watumiaji Wana kuwa wengi kuingia ili kuona uzuri ulipo ndani
2026-10-01 08:40:51
115
ezekielylubibi
STAINLESS STEEL SALES :
@️:HABARI KWA WAZAZI , SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO 🙏🏽
2026-09-30 06:03:29
23
justifaefrahim
justifaefrahim :
kwa sababu kila mtu anataka kuona uzuri wa ndani ataki kutazama uzuri wa nnjee tu na akishatoka huwa anajiuluza kama wewe unavyojiuliza 🙌
2026-09-30 07:52:22
40
maryam.ali390
Maryam Ali :
We mswahili nimekusoma
2026-09-30 08:22:44
23
user7963602662638
barbie tatiana🧚🏾‍♀ :
mh kila mt huingia hat wagen hupenda san
2026-10-02 09:24:33
7
hawaatun
lovely mom💃💃 :
Kwa sababu ya kupitishia fanture
2026-09-30 07:36:27
7
user2782453091075
kim kadashiaan :
kwasababu wageni wengi
2026-09-30 00:51:17
30
1tz_begge
steven_begge :
wageni wanakuaga wengi mzee
2026-09-30 02:17:59
8
official_rafael_73
official Rafael 🇺🇬 :
Sababu wtu wanapita wengi
2026-09-30 00:41:14
5
kahani9522
Kahani :
kwasababu kila mtu anafungua anaingia
2026-09-30 06:32:40
9
usermina2220
mina brandi :
kweli bother nimeelewa swli
2026-09-29 22:18:31
5
alyajabir
Alyajabir :
kwa sababu watu wengi wanapita hapo mweeeee
2026-09-30 07:25:13
5
miss.d4499
miss d😍😍😍😍 :
watu wengi wanaingia kujua yaliyom ndani
2026-10-07 10:22:38
5
wakandalove841
rabia de 🥰🥰 :
kwasababu wapitaji wana kuwa weng san
2026-09-30 00:10:03
5
marthapaul819
It's me Matty :
kwasababu nyumba nzr wanaishi watu wengi hapo nilazima waweke mlango mkubwa
2026-09-30 06:00:02
15
baibe.girl254
baibe girl💓💓💓 :
inategemea na nyumba yenyewe sio kila nyumba iliachiliwa huru kiasi cha mlango kuwa mkubwa
2026-09-30 00:34:42
7
kibeniahlam
Kibeni Ahlam16 :
wanapita wengi na pia akiambiwa mzuri anajiachia kwa wote
2026-09-30 12:35:41
5
jay.designer.tz0
jay_designer_tz :
nyumba nzuri inatumika sana maana uzuri wake utafanya kila mtu atamani kuitumia
2026-10-10 16:46:46
7
abdulkadili169
Abdulkadili45 ma2pa :
Kwa sababu inakua ina wavutia wa2 wengi na kila m2 ana mwili wake katika kupita mrangoni
2026-09-30 10:33:30
8
user2795800941519
Fetty fellay♥️♥️🌹 :
tulio kimbilia kuangailia comment tujuane🤣🤣
2026-11-02 20:40:26
114
asha89791
asha :
mi nieleweshe sijaambua kitu apa bro
2026-09-30 09:11:12
21
msabaha_220
Msabaha_220 :
Yaan sio mlango tu wadada wazur wengi wana mageti
2026-09-30 12:23:01
162
To see more videos from user @sylum33, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About