2TIMOTHEO 4:2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho. ✍
---------------------------------
TITO 1:13
Ushuhuda huo ni kweli. kwa sababu hiyo uwakemee kwa ukali, ili wapate kuwa wazima katika imani;✍
--------------------------------
ISAYA 58:1
Piga kelele, usiache, paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. ✍
----------------------
SDA❤✍🙏🙏.
2026-10-04 08:29:54
0
To see more videos from user @edenitv, please go to the Tikwm
homepage.