@coolnews24hrs: Kabla ya mechi ya leo dhidi ya Australia, nyota wa Brazil, Raphinha, alikutana na shabiki mdogo Zion, ambaye anapambana na ugonjwa nadra wa kijenetiki unaosababisha upotevu wa kuona. Zion alimwomba Raphinha kitu kimoja: akifunga goli, asherehekee kwa mtindo wa miwani.1️⃣🫂 Kwenye mechi ya leo, Raphinha alitingisha nyavu kwa mkwaju wa penati na hakusahau makubaliano yake na dogo. Aligeukia kamera na kuweka ishara ya miwani kwa ajili ya Zion. 🥹💛 Ahadi imetimia, na tabasamu limerudi kwa Zion. Wakati wa pekee sana ndani na nje ya uwanja! 👏❤️ Follow @coolnews24hrs For more ⚽🙏🏆 #Raphinha #brasil #viralreels #RespectMoments #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp