yule askari hakumuona makamu wa rais hajampigia salute 😂 dharau au
2026-09-29 19:34:48
2
16 :
honger sn san
2026-09-29 19:47:50
0
sabato :
unafaa kuwa rais ajae 2030 kurayangu nakupa umewakirisha vijana ipasavyo kabisa mungu akurinde amina
2026-09-29 18:16:25
4
mshaija mkulu :
sarouut
2026-09-29 19:42:51
0
sfaf2024 :
Very Gentleman 😍
2026-09-29 19:43:15
0
oscar tweve :
hapo... naganda
2026-09-29 18:32:03
1
hemba :
dah aisee nimependa sana kiongoz ana jali sana wananchi
2026-09-29 18:03:41
2
stambulijuma550 :
Dah! MHESHIMIWA UBARIKIWE SAANA.
2026-09-29 18:24:07
2
Sb Mobile Store :
Mungu Ampee Afyaa Njema Afanyee Kazi Vizur Inatiaaa Moyo Sana 🙏🏾🙏🏾
2026-09-29 18:28:05
2
HOUSE OF EVE :
haya ndo tuliokuwa tunayata toka mwanzo 😁😁
2026-09-29 18:30:05
1
Mr Yohana :
Binafsi nimempenda sana
2026-09-29 18:29:11
1
MWACHA :
hao majamaa wa bike walitaka kuchora 😂😂😂
2026-09-29 18:25:51
0
MRB :
kumbe inawezekana kutembea bila msafara wa magari mengi. Tuishi hivi tu viongozi wetu jiaminini. mnatembea kama ivi. hakana vita nchni tuwiituwiii za nini.
2026-09-29 17:25:55
5
DR NASSOR :
huu ni mfano wa kuigwa wa kiongozi bora, yule anaetembea na kujua hali za wananchi wake. proud of u Mh Ndejembi
2026-09-29 18:48:03
0
honeybadgersafari :
Mambo n haya na ombi letu mungu analifanyia kaz taratibu