@millardayo_: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameagiza kusitishwa kwa mfumo wa pointi kwa Madereva, ambao amesema ulikuwa bado haujaanza kutekelezwa rasmi bali ulikuwa katika hatua ya majaribio. Katambi ametoa agizo hilo leo, Septemba 29, 2026, katika Stendi ya Kimataifa ya Magufuli, Dar es salaam, wakati alipokutana na Madereva kufuatia mgomo ulioanza asubuhi ya leo. “Kwa hiyo mpaka sasa ninavyozungumza kwenye jambo hili la pointi, maagizo na maelekezo yangu na uamuzi wangu ni huu, jambo hili lisitishwe na tathmini ya kina itafanyika kwa kuwashirikisha Madereva hawa wote kupitia Viongozi wao, kuanzia Viongozi wa Wamiliki,”. “Leo tarehe 29, Viongozi wote wamekaa pale Dodoma, baadhi yenu waliokaa pale ni Viongozi wa Madereva, watatoa maoni yao katika kile kikao ambacho wamekaa,” amesema Katambi. Chini ya utaratibu huo unaotokana na Tangazo la Serikali Na. 420 (G.N. No. 420), kila leseni ya udereva ina pointi 15 ambazo hupunguzwa kulingana na aina na uzito wa kosa la usalama barabarani linalofanywa na Dereva. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 17:13:39 GMT
127676
6461
372
151

Music

Download

Comments

ghoast6662
Golden :
Na cousework watoe
2026-09-29 18:03:12
9
kinvon087
kinvon@ :
kumbe tukiamua hata deni la taifa watalilipa tu😁😁😁😁😁
2026-09-29 17:28:44
243
chejo_wana_man
@Chejo_Wana_Man 🐰 :
Sio point tuuu na mengine
2026-09-29 18:12:06
58
kenyaboy55
CIA wa Road🛣️🚔 :
Sasa kituo kinacho fuata ni maslahi ya dereva
2026-09-29 17:49:54
82
rekless_gaino
🅖︎🅐︎🅘︎🅝︎🅞︎ :
saiv tukiwa tunaitaji msaada tunaongea na madereva🤣🤣🙌
2026-09-29 19:23:39
35
centyboe
young killer :
SIMBA BINGWAAAAA
2026-09-29 18:52:43
0
allysuleiman00
Ally :
Hakika YANGA BINGWA TENA
2026-09-29 17:39:27
40
hafeetz08
Hafeetz08 :
Kila Kiongozi Anasema Lake Hii Nchi Hii
2026-09-29 17:20:21
39
georgeadamnyoni
GEORGE ADAM NYONI :
ni habari gani wanazungumzia hapa
2026-09-29 17:20:07
22
kinyange123
kinyange collection&cash point :
bora mana mim pont ilibaki moja tu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-29 18:10:06
1
christophersalver2
christophersalver :
Asee umenena brother
2026-09-29 19:19:28
0
official_sheila_tz
Shayna kidoti 🧿 :
pointi ni nn😳
2026-09-29 17:17:13
16
vitalis024
vitalis024#the green city :
madereva 3 vs 0 katambi
2026-09-29 18:06:11
10
patha.mwakiembe6
patha Deogratias :
Madereva ni Jeshi kubwa
2026-09-29 17:47:41
36
mo__sparta
mo__sparta :
sisi madereva wa school Bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye Juice za watoto
2026-09-30 00:07:33
3
lustavo_jr
Lustavo Junior :
Law of cause and effect 😂😂🤝
2026-09-29 17:51:06
0
aiem551
aiem197😏🤎 :
😁😁😂😂😂😂😂😂Nacheka kama chiz ilaa serikali bhnaa sahv jamboo lolotee likitokeaa tunaletaa mgomooo mbakaa kielewekeeeee mwakaa huuuuu😂😂😂😂😂 meyoooooi
2026-09-29 17:19:02
9
gasparkisinza
GASPER KISINZA :
YANGA BINGWAAAAA....
2026-09-29 17:57:46
6
franklin2646
Franklin :
Very big mistake, madereva ni wazembe sana hii kitu ya kukata point haitakiwi kusitishwa kabisa
2026-09-29 21:29:05
0
adeecom255
Adeecom :
wakate tu wametuweka njiani abiria utadhani sisi ndio wakata point
2026-09-29 17:51:01
0
wizkhalifa9097
wizkhalifa :
jamani tusome
2026-09-29 18:39:32
1
nanshunaah
nanah🪷🌷 :
hadi udereva una tuzo point
2026-09-29 19:26:24
3
classic_cars255
𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐜𝐚𝐫𝐬 :
serekali yetu sikivu kabisa tutafika mbali
2026-09-29 19:10:06
0
fredymakaranga
patel. :
Kwani hiyo lessen ya udereva Inakuwa na Point ngapi ..mpaka zinapunguzwa
2026-09-29 18:19:06
4
mtembezi.jr3
ZUNGU JR 12##13 :
ukute na alie leta mfumo wa kukatwa point kweny lessen analipwa mshahara,?
2026-09-29 18:55:22
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About