rais wao anaupendo sana mashaallah kaenda mpka indiya kyangaliya raiya wake
2026-09-30 06:03:11
8
Yahya Muhammad :
mashallah ❤❤ jamaniii kwni ni yupi alifarik naona ii mitandao mbna wqnavumisha vibaya na yule aliezikwa gamba ni yupiii
2026-09-29 18:17:01
7
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
mbona nimecheka kwa furaha alhamdulillah Mungu yupo na ww inshaallah utarud ukiwa unatembea kwa miguu yako na uyo dokta aje Zanzibar tumpe dada yako au hutaki Shemu muhind
2026-09-29 18:38:04
10
DAIYYA :
huyu kwan historia yake ilikuwaj
2026-10-02 16:07:31
0
Rashid Abdalla :
mashaallah mungu atakujalii utakuwa sw broo kila la kher
2026-09-29 18:14:56
6
siku :
jamani hajafa uwo uvumi sio wa kweli
2026-10-01 07:41:59
1
Queen moon moon :
Masha Allah jazkaa Allah
2026-09-29 18:35:11
5
user66133309095484 :
mungu. ni mwema🙏🙏
2026-09-29 18:14:31
2
Rashid Abdallah juma :
Mola azid kukufanyiy wpeskaka
2026-09-29 18:55:58
3
Minah!! :
Alhamdulillah
Allah akutie nguvu
2026-09-30 13:33:29
1
Zaykh@45 :
ameshapona au
2026-09-29 17:46:52
3
fthm_4 :
Inshallah Allah atakupa shifaa
2026-09-29 19:14:47
1
summy princess 667 :
binadamu ni wazuri usoni tu lakini kila mtu na moyo wake.kwa kuyakuza mambo wapo vizuri
2026-09-30 23:46:38
2
Fatma Mwinyi :
mungu atakujaliya heri
2026-09-29 18:53:37
2
Khayriya Salim :
mashallah
2026-09-29 18:27:09
2
Mama Yuu :
mungu ni mwema
2026-09-29 18:09:53
2
fanikha :
Mashaallah allahmdullih
2026-09-29 19:06:16
1
bby najma :
pole kipenz
2026-09-29 22:11:33
1
💐🤩baby am💐💐 :
Allah azidi kumfanyia wepesi
2026-09-29 21:57:28
1
Safia :
ALLAH. AKBAR
2026-09-29 21:33:06
1
mwajabu :
mungu atamp wepesi amin
2026-09-29 19:01:01
1
Simai Shaame :
mungu mpe nguvu
2026-09-29 18:02:08
2
asiya :
mashallah allah akujaalie kher
2026-09-29 18:33:11
2
To see more videos from user @mkakawaforodhan1, please go to the Tikwm
homepage.