Ndugu yangu maliza kugawana nikwambie hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo,mara kuna wizi wa nyeti hata sijahema vzur anko t kaanza kwenda gym sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂 mara pipi tida kaanzisha live yake kutoa duku duku😂 hatujaa kaa sawa kuna kutema cheche yani ili mradi na ss ndo kama hivyo tunaongozwa na m..j.... mwaya tutafanyaje sasa🥺😂😂😂😂😂
2026-09-29 18:37:54
40
~lil breezy 🫰 :
I think it might be crazy...Which county is this???😅
2026-09-29 18:49:01
15
Thug boe :
apa sas wamektana
2026-09-29 18:22:48
32
⚡ ꧁༒☬BAD MAN☬༒꧂ 😎 :
Zayooo
2026-09-30 06:32:38
2
mr nyakulunduma :
tunaomkubali zayoo tujuane kwa like
2026-09-29 17:56:48
143
GODFREY :
mental+ mental= crazy 😧🤣😂
2026-09-29 19:16:32
2
JB MUSSA :
zayooo anatuwakilisha katoro
2026-09-30 06:07:05
10
zagalove♥️ :
zayoo zayooo
2026-09-29 17:57:15
4
Ben Carson :
@zayoo Absolutely 💯 crazy 😂😂😂😂🙌🙌🙌
2026-09-29 19:16:18
3
kagan mdg :
🤣🤣🤣 mmetisha
2026-09-29 18:44:27
1
Bray brand 007 :
Wanao mkubali zayoo na bravoo tujuane
2026-09-29 19:12:54
8
jayden :
am the first one to land today😂😂😂
2026-09-29 17:56:17
14
j khan :
tunao mkuulbali bravoo tujuane apa
2026-09-29 18:53:17
8
Juliana pretty :
katonda wange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-29 17:54:36
6
yah mtonyi🥇⚽ :
ikifka 1k niambie
2026-09-29 17:55:25
15
Seif Tito :
wanangu wameungana sasa
2026-09-29 18:29:42
6
MAME LA CostaRSA :
Tanzania is not Country
It's comedy Mentality 😂🤣
2026-09-29 18:00:48
9
samdahero :
Usikute Tz ndyo Channel ya Comedy Mbinguni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 08:37:34
3
To see more videos from user @zayooo27, please go to the Tikwm
homepage.