@sirizaasili: KOMBA (RING-TAILED LEMURS Katika nyanda za juu za Madagascar, chakula na makazi salama vinaweza kuleta tofauti kubwa kwa maisha ya lemur. Jike mmoja amepata bahati ya kuzaa mapacha—tukio lisilo la kawaida kwa spishi hii. Lakini hata katika bonde lenye neema, kila siku ni safari ya kutafuta chakula na kulinda kizazi kipya. #SiriZaAsili #RingTailedLemur #Madagascar #Wildlife #NatureDocumentary
Siri za Asili
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 17:58:23 GMT
Music
Download
Comments
Raiyan :
we like move move
2026-09-30 20:12:14
2
LONE WOLF 🦊🦊 :
Siri wewe pia usikute ni siri yenyewe 😂
2026-09-29 18:06:44
6
Duma jr :
ubini wa watani zangu wangoni 🤣🤣
2026-09-29 18:12:45
3
hero :
zaidi ya story book
2026-10-01 18:38:21
2
Tamim True :
Ao komba shughuli zao wanfanyia mchana ama naona vibaya
2026-09-30 06:36:42
2
Tangawizi :
habari kak
2026-09-29 23:58:21
2
Nyota ya kheri🌟 :
Duuh ndo yule yule Chief wa kwenye Cartoon za Madascr😁
2026-09-29 20:39:18
2
baba D :
kazi nzur
2026-09-30 22:03:59
2
Abdkalim Nuru :
Tanzania wapo haw
2026-10-14 10:12:13
1
*DÛLÎDØ* :
kaka mbona unauwek San skuiz
2026-10-05 12:19:53
1
💫💥 ⭐ Jimmy-Tz✨🌟 :
💎 💯 🔥
2026-10-11 23:03:47
1
Virgo queen ♍️ :
King Julian😂
2026-10-12 20:45:29
0
The Iddris :
Vipi nawa nao hawanywi pombe kama hawa wa mtaani kwetu?!🤣😂
2026-09-29 19:28:06
2
Bachaa 🙃🙃 :
🔥🔥🔥
2026-09-29 21:22:20
2
Lanez24. :
😳😳😳
2026-09-29 18:02:22
2
iddy :
😁😁😁
2026-09-29 19:00:02
2
king mesha :
😁😁😁
2026-09-29 18:42:53
2
sentro see :
😁😁😁
2026-09-29 20:40:29
2
Da Silva Junior :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-30 18:02:16
2
Johnny :
💪💪💪
2026-10-06 17:56:35
1
Fahad Hamady :
Tanzania safari channel hamuoni hiki kipaji?@Tanzania Safari Channel 🇹🇿
2026-09-30 08:48:19
2
To see more videos from user @sirizaasili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.