@tractor_mfalme: 🎉🚜 Hongera kwa mteja wetu, Bwana Faustin Bimanicha Kilugala kutoka Arusha! 🚜🎉 Ni furaha kubwa kumpongeza Bwana Faustin Bimanicha Kilugala kwa kujipatia New Holland TT55-2WD. 🌾💪 Hakika, matrekta ya New Holland yameendelea kuaminiwa na kupendwa na wakulima wengi kutokana na ubora wake, uimara, nguvu na matumizi mazuri ya mafuta. Na wewe ndugu mkulima, huu ndio wakati wako wa kujipatia Tractor bora la New Holland na kuongeza ufanisi katika shughuli zako za kilimo. Tunapatikana na matrekta ya ukubwa mbalimbali: ✅ HP 45 ✅ HP 55 ✅ HP 75 ✅ TD95 ✅ HP 110 ✅ HP 125 ✅ HP 230 Pamoja na vifaa mbalimbali vya kilimo ikiwemo: 🌾 Tela za kubebea mazao na mizigo 🌾 Majembe ya Disc 🌾 Rotary Tiller 🌾 Rotavator 🌾 Vifaa vingine vya kisasa vya kilimo Pia tunarahisisha upatikanaji wa trekta kupitia mikopo ya Benki, EFTA na PASS Leasing. ✔️ Dhamana ni trekta yenyewe ✔️ Muda wa mkopo hadi miaka 3 ✔️ Marejesho kulingana na msimu wa mavuno 📞 Wasiliana nasi leo: 0615 333 164 New Holland – Nguvu, Ubora na Ufanisi kwa Kilimo cha Kisasa! 🚜🌾

tractor_mfalme
tractor_mfalme
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 18:16:17 GMT
6822
278
9
16

Music

Download

Comments

villagehunter3
Harony :
inaweza hiyi karai tatu
2026-09-30 10:55:28
1
michael.mangu50
Michael Mangu :
nipe kazi kaka
2026-10-01 14:19:05
1
user7509037280015
قذافي ابكر :
ماشاءالله
2026-09-29 18:59:01
1
user7509037280015
قذافي ابكر :
كم سعر
2026-09-29 18:59:52
1
gnral.1a2
général V12 :
💪💪💪
2026-09-29 18:19:54
1
To see more videos from user @tractor_mfalme, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About