@jvckieseven: mwaka 2010 msanii Hakeem 5 alidondosha hili dude lake safi kabisa lenye miondoko flani ya kiwako Jacko kwenye video 😁😁 dude lilitayarishwa na producer MANECKY kutoka AM records 🔥🔥........anyway hizo location siku hizi Chino wanaman anatamba nazo sana 😂