@rayyn_8766:

(❝༄𝙉𝔸C𝙃𝔸❝༄)
(❝༄𝙉𝔸C𝙃𝔸❝༄)
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 18:49:14 GMT
80896
3468
224
164

Music

Download

Comments

its.azy4
it's azy :
waziri mshua kashasema,watu wanajiamlia mambo[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-30 06:37:58
0
zinduka255
Zinduka255 :
kwani kasemaje jaman mbona speed hivooooo...????...[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-29 21:42:29
1
mkork
m.kor~ fashion :
Hii sasa Ndo "Nimemkuta Hayupo"😂😂🙌🙌
2026-09-29 21:08:52
26
bestonedson
Beston Edson :
hapo sauli angetumia 5 hrs dar mbeya
2026-09-29 20:58:42
42
ellychars00
ELLY CHARS :
achechecheeee production [Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-30 05:29:50
0
mjuba501
Alkhatil 💦 :
Apoo tuwiuwiu italia mbaka ipasuke sisi hatuelewi kwetu mdaa muhim sana Ya Allah wajalie maderev wote wanao litia hali ngumu kwa ajili ya family zao na uwape mwanga na uoni katika safali zao kwani hawana pakwenda zaidi ya kazi yaoo na family zao ndoo zina wategeme Ameni 🤲🤲🤲🤲🤲 Ya Allah
2026-09-29 21:06:15
40
user8629584023811
itoxy :
waliopanda katarama dar to shy kazi mnayo [Tears of joy]
2026-09-29 21:11:15
26
mcgibson100
NYAMAUME :
HABARI KWA WAZAZI , SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO 🙏🏽
2026-09-29 21:59:33
20
green.joseph75
G: mselaa safii🔥🔥🌹 :
😁😁😁 dereva alikua na hamu na gia pia kwa sasa anafuraha,abiria walikua wanataka kuwai maana wamechelewa,boss wa gari alikua anataka pesa tena kwa wakati,kilichofuata ni🔥🔥🔥
2026-09-29 20:11:43
59
cate_2554
cate255 :
trh 29 inakuagaa na vituko
2026-09-30 03:27:16
5
yuzogaming_
yuzogaming :
nawakubali Sana madereva wa mabus wanangu hawanaga show mbovu hawaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 22:14:02
8
ms_lailat
ms.laylat😍❤️ :
inabdi tu wasaidiwe kuwahishwa watu wa sup zao. [Heartwarming][Heartwarming][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 21:33:36
5
mr.luckyamani
Mr LACKY AMANI :
iyo leo[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-29 21:34:51
2
thedongnyange8
Shwaa08 :
hapo panaruhusu kuovertake mbona sio shida😂
2026-09-29 21:08:01
6
kidunda8
kidunda :
no time to west😂😂
2026-09-29 20:58:39
0
user6243984184207
Mulhaty 💦💫 :
hii ndo zinabondwa tyu huku tunavutaaa [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-29 21:47:34
4
jacobkapena
Jacob :
MUNGU AWASIMAMIE SAFARI NJEMAA🥰🥰🥰🥰
2026-09-29 21:15:10
9
kaka_yaa12
K@K@ Y@@ 💫 :
HABARI KWA WAZAZI , SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO 🙏🏽
2026-09-29 21:26:40
23
baba.ubaya8
BABA UBAYA👽👽 :
Mpaka watuambie kwanini libasse ni wa moto
2026-09-29 20:48:21
16
user8357495429768
mr america :
tembezeni chuma wanagu tupo nje ya mda ila mungu wasimamie
2026-09-29 20:48:27
23
prince.medy
MEDY 💫 :
mbele mbele yao mamae 😂
2026-09-29 20:38:25
7
panp2555
Calm P :
abiria wako nje ya muda, watu wanaalinda brand zao
2026-09-29 20:38:17
16
lusa89852
lusa8985 :
hii nchi jaman daaah
2026-09-29 20:36:57
6
joycedamian5
maudodo 🫧🥳 :
hii TikTok karibu itanioa uku🤣
2026-09-30 04:51:42
4
user49934246132063
phetih@hostes bus 🚌 :
kna 29 October na na 29 september utachagua ww upo 29 ipi?😅😅
2026-09-30 05:34:58
1
To see more videos from user @rayyn_8766, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About