@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 18:58:56 GMT
70747
2210
114
434

Music

Download

Comments

realmamuu05
realmamuu :
TikTok kuingia rahis ila kutoka sasa🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 03:58:05
11
miss73060
Miss❤️ :
Nikiwa mdogo nilimeza hamsini sasa akili ikanituma nikanywe maji ya chumvi itayeyuka nikanywa na sikuwahi kusema Nahisi itakuwa imeyeyuka
2026-09-29 19:53:52
17
mo__sparta
mo__sparta :
sisi madereva wa school Bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye Juice za watoto
2026-09-30 00:07:03
23
mariachakupewa1
mariachakupewa :
jaman mwenzenu sijui kusoma na kuandika sijui mnanisaidiaje😂😂😂
2026-09-30 09:22:41
3
iga.ufe0411
Iga Ufe04 :
Au Tanzania ndo nchi ya Ahadi hatujui [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-30 19:35:51
3
faiqan21
💞faiqan💞R.N👑 :
🤣🤣🤣🤣🤣nilitaka kushangaa inakuaje tuanzee kua sawa wakat tumekubaliana nimaelekezo mabovu 2 kwa sasa
2026-09-29 19:17:14
6
americanboy478
American boy 🕊️🇺🇸 :
Hivi kumbe taifa linadaiwa
2026-09-29 22:31:12
4
zabibumahubah
Zabibu Mauba :
Mpeleke hospitali mana wa kwetu alipewa mafuta akanywa haikutoka dawa ya kuharisha haikutoka mpaka kuna kichuma walimuingizia kwenye koromeo kiaenda tumboni kama smaku kikatoka na ile hela lakini tulitoa elfu 80 na ni zamani sijuwi kwa sasa
2026-10-27 17:42:58
0
mamuuh.peace1
mamuuh peace :
usikute Tanzania ndo nchi ya vichekesho uko mbinguni🤣🤣🤣🤣
2026-10-03 10:48:55
2
mamakelai
husna mkama :
😂😂😂😂😂 ila wabongo
2026-09-29 20:33:12
2
darwine.darwine5
Darwine Darwine :
ukiwa na bando auto kufa na mawazo..
2026-10-25 21:22:28
1
timotheozshaban
timotheo Zshaban :
hili ndiyo taifa la kesho sasa yaan walio tuona sisi ni taifa la kesho laki sisi wenyewe hatujion ni taifa lipi
2026-10-01 09:02:44
1
decruz.mickey
💎🔹de'cruze.. 🔹💎 :
ivi watu mnawazaga nn 😂😂😂😂😂😂
2026-09-30 05:53:06
1
user3280366061015
vasco :
duh Watanzania naomba mnisamehe😂😂😂😂
2026-09-30 08:13:00
1
makwega6
Makwega :
ila
2026-09-30 08:55:23
1
fizzohbless
Fizzoh Bless :
Au sio
2026-09-29 20:48:36
1
cluzy.macho
🦋Cluzy Macho🦋 :
😂😂😂😂😂sawa sawa
2026-09-29 21:42:21
0
allahmndulilah3
𝐂𝐡𝐞𝐮𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐚🩵 :
2026-09-30 13:15:15
1
j8171636
Junior jr :
nilicho gundua saiv pambana sana nibora ukose ela ya kula kuliko kukosa bando umekwisha
2026-10-22 21:58:05
0
neemapallangyo798
neemapallangyo798 :
Aaaah bongoooo🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-31 02:47:50
0
user1785ashrey
Ashrey baby🌸 :
😂😂😂😂😂 jam
2026-11-06 11:00:27
0
johniakaruhanga791
Johnia :
😂😂😂😂😂😂 ila hii nchi hapana
2026-10-27 18:17:32
0
yes.its.mema
yes it's mema :
asante😂
2026-11-03 19:52:09
0
enzoreginald
Eng Hildegard,Edwin R :
kwamba ameze na shilingi tano 😂😂😂😂
2026-10-31 17:40:34
0
jinibahar1
jinibahar :
🤣
2026-09-29 23:08:17
0
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About