@simukitaa: Apple Wamesikia Kilio Cha watumiaji wa iPhone.. Wametoa iOs 27.0.1 Ambayo imekuja kwa lengo kubwa la kufix Bugs Na Changamoto za iOS 27 Ambazo zilikuwa zikiwaletea shisa watumiaji Wa simunzao.. Kama ulikutana na changamoyo yoyote update iOS hiyo utanishukuru Baadae.. Nawakumbusha tu pia kwamba hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. usisahau kutufollow na kuturn on post notifications ili uwe wa kwanza kuona Post Zetu.. Call/Whatsapp Tunapatikana Sinza Mori #hamjaonakitubado? #Simkitaa #Sanukakitaani #iPhone18 #Apple

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: AE
Tuesday 29 September 2026 19:01:59 GMT
5615
321
6
6

Music

Download

Comments

yang_jin1
Goat_kid :
Every day I m first
2026-09-29 19:09:51
0
hassanchinga970
Hassan :
kama inachagua chaji
2026-09-29 19:22:47
1
ibrahim.nsengiyum46
Ibrahim Nsengiyumva :
Google picxeli9 zikishuka bei mnikumbushe
2026-09-30 05:15:29
0
judndols
Donarld Jumanne :
simu kitaa me Whatsapp imenigomea kuweka status nikweka tu inaweka adding mpaka muda muda unaisha
2026-09-29 21:25:06
0
98plan_b
Plan_B :
kwaiy simukitaa unataka sisi mafundi tule wapi
2026-09-29 21:02:17
0
yang_jin1
Goat_kid :
😂😂😂
2026-09-29 19:09:31
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About