@abdurahmanijuman: DAAAH DULLAH KATOA MAHARI MARA 2 NA BADO AKAACHWA…🙆🏼♂️🙆🏼♂️ ILA WANAWAKE….🥹🥹 NDIO MAANA BROTHER @dullamakabila Inamuuma sana Aiseeeh 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ #Nasoma comments ✍🏽 #Nifollow @abdurahmanij4 #Follow @a.news__ #fyp #fypシ
ndoman dullah had leo hawez kukusahau kumbe alitoa mahar mara mbili du🤔🤔🤔🤔
2026-09-30 04:12:10
84
Grace Karata :
Mmmh Dulla anahaki ya kulia kwakwel inaumiza
2026-09-30 05:46:18
61
uhuru :
so sifa nzur hlf unajuw kabisa
2026-09-30 04:54:23
37
jamila.sinay :
ukimdai mwanaume talaka inabidi umlipe mahari yke
2026-09-30 08:48:10
17
HD Mafish :
kwaiyo unaona sifa sio
2026-09-30 05:02:01
16
Mom mayrah😎🤏 :
Zaiylissa ndo Mimi kabisa tofauti mm nawazalia tu😁😂😂 ctak mkaview profile tutagombana aisee😂😂😂😂
2026-09-30 16:02:25
0
salma💕mauki :
anaona ni sifa
2026-09-30 05:44:13
7
@Nisher 001 🦋😘 :
siku saba 😂😂😂😂😂
2026-09-30 07:16:51
3
fatma luul💞 :
kweli kabsa zaylisa umeongea point 👉
2026-09-30 05:42:01
1
🦋it official myra🦋 :
Dada na ndoa zake mjini
2026-09-30 10:19:41
5
Mrs Mehboob Jaffer :
uko SAHIHI kabisa zai🥰
2026-09-30 11:39:54
0
Baby Girl💞 :
Kati ya wote hakuna mtoto! ni swali tu
2026-09-30 05:17:06
5
Ruwaida seif91 :
huyu mimi kabisa😂😂😂😂
2026-09-30 03:51:32
5
husna kidoti :
mimi naitafta ya 6
2026-09-30 04:59:41
1
wambi 05 :
Ni wachache wenye akili nzuri kama hii❤️
2026-09-30 04:33:54
1
jackline :
dula anakupend
2026-09-30 03:33:03
5
𝔸𝕚𝕤𝕙𝕣𝕖𝕪2(ℍ𝕒𝕒𝕝𝕒𝕟𝕕) :
nshachanganyikiwa😁😁😁
2026-09-30 04:38:17
2
fresh produce :
hapo sawa zay
2026-09-30 03:59:20
2
mimmah2547 :
Nishachanganyikiwa😂😂😁
2026-09-30 04:49:43
5
mariam_slim :
Mimi mwenyewe Niko ya tano kuvumilia siwezi matalaka sipewi
2026-09-30 04:41:31
1
Nanah wedding :
Nakuelewa sana zai🥰
2026-09-30 05:42:39
1
Hiba_Noor🫶 :
alafu ukamuachaa mungu yupo
2026-09-30 06:41:49
1
Jennipher :
Abdul wa Siri za familia
2026-09-29 23:28:02
2
warda masele :
kama wanaume wakislamu walivyopewa nafasi ya kuowa zaidi ya mmoja, na sisi wanawake tumeruhusiwa kuolewa zaidi ya mara 1, cha muhimu ni uwe unatalaka hata ukiolewa mara 10 sio dhambi, kuliko zinaa
2026-09-30 14:40:37
0
mariam_slim :
Pacha wangu
2026-09-30 04:39:07
0
To see more videos from user @abdurahmanijuman, please go to the Tikwm
homepage.