@eddy_tzz: KWAKWELI #mwanzatanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #katoro

Eddy_tz
Eddy_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 20:33:41 GMT
67562
3157
331
113

Music

Download

Comments

vlcentegeraldo
Geraldo :
a few moments later 😂😂😂😂 It's a joke God bless you guys. 🙌🙌🙌🙌
2026-09-30 13:37:05
1
cute.ronah
Cute♥️ ronah :
Pesa sio kila kitu kwenye mapenzi kijana mwanamke kama haukupendi hta uwe bilionea Amini kwamba
2026-10-01 05:41:47
93
ray756348
it's R£y💚💚💛💛 :
[Tears of joy][Tears of joy]sasa apo mgojwa yupo mach kenyew kamelala jmn mgojwa ndo anakiangalia badala ya yeye kumuangalia mgojwa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-01 02:42:08
3
riri843104
Riri🫦😜 :
kuna wengine hatuhitaji hata hela upendo wa dhati tu bhasi🥰🥰
2026-09-30 04:36:18
44
mad.bad8
mad bad :
so vzr lkn kwa uliv mrecord piy nahiy caption🥺 ila oiiiiii😅 hayanihus
2026-10-01 17:56:37
1
kidoty.collection
𝓚𝓲𝓭𝓸𝓽𝔂 𝓒𝓸𝓵𝓵𝓮𝓬𝓽ion :
buetfull🥰
2026-10-01 07:57:22
0
mgogowawatu1
Mgogo wa watu1 :
unaeza ukawa unampa hela Lakini humpi muda ukachapiwa na unaweza ukampa muda Lakini humpi hela pia ukachapiwa, Love defies definition Broh👊🏼
2026-10-01 03:44:01
19
aromeja4
Aromeja :
kaka meme nnamwanaume huyo anahela yani so hela ni bolionea na ananizingatia sana zaidi ya sana ilaa kusema ukweli simpendi
2026-10-01 13:44:07
6
alvin_0272
Alvin :
Cha kwangu kimenipenda hivohivo na umasikini wangu but i wish one day kile matunda ya uvumilivu
2026-09-30 17:53:22
51
johnnyshiganza
Johnny Shiganza :
Umenikumbisha EX wangu popote ulipo mungu aendelee kumusimamia afanikiwe msichana. alikuwa perfect sana
2026-09-30 18:44:04
20
user599524767
Tiffany :
mm wangu nampenda sana na sina mda wa kuangalia kipato chake na na penda kwa hali yeyote ile
2026-10-01 08:25:09
17
emanuelyendrew
emma :
mahusiano yakupatikana kwa pesa bora nibaki single milele namm siku nikizipata nisishauriwe🙌🙌
2026-10-01 17:34:04
2
miss.sophie379
Miss Sophie💞 :
Mwanamke akikupenda kweli haangalii ela broh
2026-09-30 19:47:21
8
hashim.autoworksho
Hashim autoworkshop garage :
Ila analala vzri 🥰nimempenda anavyolala🥰
2026-10-01 14:00:39
1
my.beaulah
MY BEAULAH :
yan mapenz yaliendaga na maandamano
2026-10-01 14:32:31
1
aidanjackson282
Aidan Jackson :
siwezi post stuation yoyote nikiwa na mpenzi wangu mahana atuwezi kumtambia mtu mapenzi yetu akiumia moja wote tulia tunaanza kubembelezana natunaanza kucheka[Laughing][Laughing][Laughing]
2026-10-01 15:20:17
1
mshewedaughter
mshewedaughter :
n kweli kabisaaaa
2026-10-01 03:47:30
1
adammsuya2
adammsuya152 :
hiyo ni uongo bn🤣🤣🤣
2026-10-01 03:26:55
1
paulmwita185
Paul Panther :
mapenzi ya kweli yaliishia kipindi cha cov19
2026-10-01 08:16:48
5
inducementking
RBR STRATEGY TZ :
katika kitu xichangii neno ni ayo maandishi apo juu ...
2026-10-01 13:00:23
0
user2567287565569
user2567287565569 :
Sasa hapo zimependwa hela mwanetu siku ukiishiwa
2026-10-01 02:07:01
1
prosperofficial0
Prosper :
Mwanamke ni game changer😅📌
2026-10-01 06:34:27
0
tffah4
Tffah2 :
Jamani ni kweliii ata nimpendeee vp kama hana pesa badae tu ntachokaaa kutohudumiwa ipasavyo🥺😅😅
2026-10-01 17:32:09
0
mickyjr_1
𝗠𝗜𝗖𝗞𝗬 𝗝𝗨𝗡𝗜𝗢𝗥 :
Aliyekuambia upendo ni pesa ni nani kijana???!!!😃
2026-10-01 14:04:51
3
limbumanjale
LIMBU MANJALE :
pesa inasingiziwa sana kwa kila kitu sasa hapo pesa imehusikaje...😂😂😂
2026-10-01 04:39:04
2
To see more videos from user @eddy_tzz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About