Alhamdulillah wazazi wangu awana tamaa ya kuomba pesa jp tunafanya kazi
2026-10-01 03:54:38
2
Husner 🌸 :
baba angu hajawai niuliza lkn ananijua me binti yake vizur kuliko mama anavunijua bab angu anajua niko napambana na kazi sababu yake Allah hazidi kumpa umri mrefu ili haweze kula natunda yangu zaid Ameeen 🥹❤️🫂
2026-09-30 09:01:09
6
Khadija Mtutwa🌹💕 :
tunajitahid kuwalinda lkn watoto wackuizi mtihani
2026-09-30 05:20:23
4
Ayesha :
me nikinunua kitu mama anasema nimemuibia pesa zake😂
2026-09-30 11:34:20
3
Yego boy💯 :
upo sahihi kabisa shekhe
2026-09-29 21:17:51
4
shamila shamila :
Allah walehem wazazi wetu..
2026-09-30 08:03:12
1
aishaabdulazizi4 :
hakun
2026-09-30 03:23:19
2
🌟✨💫 :
subhannallah 😥 Allhamdhulillah nauliza Kwa hili
2026-09-29 21:34:19
2
zeyra bby 🤍 :
hakunaaa
2026-09-30 12:05:09
0
bl@ndydee :
mwenyez mungh 🤲🙏 awaxameh wazaz we2 makoxa yao
2026-09-30 10:41:33
0
𝚖𝚒𝚜𝚜 𝚜𝚑𝚊𝚊 :
𝚢𝚊 𝙰𝚕𝚕𝚊𝚑 𝚝𝚞𝚜𝚊𝚖𝚎𝚑𝚎 𝚜𝚒𝚜𝚒 𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚝 𝚠𝚎𝚝𝚞 𝚢𝚊𝚊𝚛𝚊𝚋
2026-09-30 11:34:01
0
nasra :
ila mama hathubutu
2026-09-30 03:47:34
1
Hadia Alloy :
subhanallah
2026-10-01 06:20:57
0
Paul p & papai :
subhanallah
2026-09-30 05:43:00
2
farhin26 :
subhanallah
2026-09-30 06:57:19
0
ambassador007 :
Allah atuhifadh inshallah
2026-09-30 06:57:28
0
🦋Bint salum🌺💙 :
😳😳😳Nakupigwa napigwa insipid sema
2026-09-30 08:12:08
0
Reyyyumh🫧🪼 :
Nimemkumbuka marehemu baba yangu alikuwa ananiuliza usipojibu hiko kipigo utarudisha
2026-10-02 09:52:40
1
Thuraiyah❤️ :
Mm mama angu anauliza hee 😔❤️alhamdullilah na simu anakagua niliona ananionea ila nashkur now alhamdullilah🥹🙏watoto wanaharibika kwa tamaa😔❤️
2026-09-30 08:34:16
0
Nuur hijab collection :
Yaarab tupe lisk sisi wazazi yakuweza kututosheleza navizazi vyetu na wengine🥹🤲
2026-09-30 08:31:58
0
🥰 :
alhamdulilah mpk sas ata si kuvaa t chochote ninachofanya nahojiwa kam nik polisi alhamdulilah Allah awaeke wazazi wetu ☺️☺️
2026-09-30 05:39:47
0
To see more videos from user @muslim02130, please go to the Tikwm
homepage.