@victor_mwambene: UNAJUA UNAWEZA KUFANYA HAYA YOTE KWENYE App ya MIXX? 😳. Watanzania wengi tunaijua Mixx kwa kutuma pesa, kupokea pesa au kutoa pesa tu. Lakini ukweli ni kwamba unaweza kufanya mengi zaidi ya hapo. Kupitia Mixx @mixx.tz unaweza kufanya malipo mbalimbali ya kila siku bila kuanza kuhangaika kuhamisha pesa sehemu nyingine kwanza. Unaweza kulipia usafiri kama SGR, Mwendo Kasi na ZanBus, kufanya malipo ya huduma za afya kama hospitali na Zahanati, kulipia bili mbali mbali kama maji na LUKU, Pamoja na huduma nyingine. Pia unaweza kufanya malipo ya kodi na tozo mbalimbali, malipo ya elimu, na zaidi kwa sasa unaweza Kufanya Uwekezaji katika Hisa ndani ya App ya Mixx Tanzania. Ukanunua na Kuuza Hisa zako na Mengine Mengi. Jambo kubwa hapa ni hili: Huhitaji kila mara kutoa pesa kwenye Mixx halafu uanze kutafuta sehemu nyingine ya kufanya malipo. Mixx App yenyewe inaweza kuwa sehemu yako ya kufanya malipo mbalimbali kwa urahisi zaidi. 👉 Fungua Mixx App leo, nenda kwenye sehemu ya Payments, halafu angalia huduma unazoweza kulipia moja kwa moja. Kama Hauna Mixx Super App nenda Kapakue Playstore kwa Watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa Iphone. . @Mixx Tanzania
CFE. Victor Mwambene
Region: TZ
Tuesday 29 September 2026 21:37:25 GMT
Music
Download
Comments
Richie_Richard :
ungekuwa unaogeaga haraka ningekuwa nakusikiliza sana
2026-10-03 10:56:27
0
Ezra machinja002 :
wanatoa asilimia ngapi faida
2026-09-30 17:23:25
0
Mig23 Flicks Tv :
safii
2026-09-29 23:43:03
0
Thoms Jogo Penye :
🥰🥰🥰
2026-09-29 23:40:35
1
To see more videos from user @victor_mwambene, please go to the Tikwm
homepage.