@yassriiiiii: Mimi aliniambia tuwe marafiki tu, je wew!?????

bozzr
bozzr
Open In TikTok:
Region: DE
Tuesday 29 September 2026 21:53:36 GMT
25737
771
215
43

Music

Download

Comments

latifa.hamisi92
Miss Tii🎧❤️ :
Alimpost mtu wake na aka acha mm nione pia nlivyomuuliza Kanijibu Huyo ndo mtu wake anaejulikana mpk kwao kwy maamuzi ni yangu tuendelee kudate ama nimuache 🥺nataman nimwambie tuendelee ila hajawahi niheshimu 🥺nna mengi uakuelezea ila nampenda japo natamani nimaahau
2026-09-30 14:25:34
26
mjapanmchina
Mjapan Mchina :
Nilipo Huck simu yake tu Ata sikumuaga😔💔
2026-10-01 07:43:54
1
abdurahmankhamis11
Man Boke :
ametangulia mbele ya haki
2026-09-30 18:39:56
3
miababe001forever
Mi cielo ❤️🦋🫶 :
Alipojua nampenda sana akaanza kupuuza,, mpaka leo sitamani mapenzi😭😭😭😭
2026-09-30 20:34:28
3
zouh038
ZOUH ❤️🦋 :
nilipojua kuwa nafaa kuwa rafiki ake na sio mpenz wake
2026-09-30 18:59:18
4
saida.masiku
Saida Masiku :
Jaman nataman hat nipoteze kumbukumbu naumia mm
2026-09-30 21:25:41
6
shery42698
sherry💞💕 :
dharau nyingi sana na roho ngumu akikosea mimi nasamee ila nikiteleza mimi hata kwa utani tu loooh nablokiwa kila mahali ila niliswali swala moja tu nikaambia mungu huyu mtu simtaki tena mana naumia mno moyo nimekonda nyumban wanaulizana mbona hiv najib aaah maisha tu kumbe mishipa ya moyo imekamata kwa mtt wa mtu, ni zaid ya miaka mitatu now nipo singo ile nguzu kubwa niliyokua naitumia kumlilia saiv naiweka kwenye kazi nimalize maendeleo yangu in shaa allahu, anakujaa kuomba anirudie tayar mimi moyo ushaacha kuwaza mapemz nawaza pesa ya fund na bati mmmh wallah mapemz ni kitu cha ajabu sana unampenda mtu yeye anakuchukulia kma mzig huna pa kwemda ukimpisha kidog anaanza fujo, nimejifunza aisee sitanyenyekea yeyote yule
2026-10-01 05:47:53
2
zuuubaby14
Zulekha :
Maneno ya mamake na kashifa nilokuwa sina napewa naumia sanaa
2026-10-01 05:59:07
1
sharifa.mohamedi5
sharifa🍓🤗 :
kabla sijaanza kuongea naomben kiti nikae mnipe na maji ya kunywa maana tutalia na kuhudhunika
2026-09-30 20:10:36
7
nyasocolnely
Nyaso Collection🛍️👗 :
🥹🥹🥹AAAMMMMMMM
2026-09-30 21:54:08
0
aishabilali461
Fakuana ary💕 :
Adi Leo hii wanaishi wote nikamua kuwaacha waendelee nisije nikawahalibiya mapenzi yao 😅😅
2026-09-30 20:18:46
3
hsksshhwnwm
miss zai🌹 :
matusi dharau na kujiamin sn cwez kumuach 😏😏😏 nkamuonesh km nawez bila ya yeye
2026-10-01 03:42:14
4
jamalibnuomary92
Jamal ibnu omary :
hakuwa anajali hisia zangu🤣🤣🤣
2026-09-30 19:34:47
0
athumani302
shaa🥰mumy :
ahadi zisizo na kikomo na hasira zisizo Mana💔😏
2026-09-30 19:45:20
2
yussufaliy7
Itz.luis⋆.˚✮🎧✮˚ :
unae mpenda ukamuacha aende kwa anaempenda ni upendo pia
2026-09-30 20:30:24
0
user667939181224
rushayna :
alinijal sana kiafya japo hakuwa na kitu nilivumilia ila alifanya nimchukie alipo sema kwenye challenge jina la mwanamke mwengne
2026-09-30 10:59:57
1
fayamycakesandbites
fayamycakesandbites :
Uongo
2026-09-30 19:21:30
0
cute.mama944
cute mama :
Alinionesha kua mm sio yule alie mpnda bali yupo asiwezi kumuacha wala kumuumiza na mm nilikua kwake kma Shabiki tuuu
2026-10-01 00:04:51
0
aishabilali461
Fakuana ary💕 :
Alitembeya na dada yangu
2026-09-30 20:17:22
0
mercyfikirini
atmosphere :
dharau
2026-09-30 18:35:35
0
dangerousgirl603
🦋=little=girl= 🦋🌼 :
Tulikuwa kweny uhusiano miaka 2 tulikwa tunapendana alinipenda nikampenda na alikuwa ananijal kupit maelezo mwish anakuja kunamby alikuws na mke na mtoto na anatka kila mtu aendlee na maisha yake 😭😭 wanaume wanaum 😭 ila bad nampnda lakin sina jins inabid nimuache na maisha yake japo kuwa ni vigum kumsahau Allah atufanyie wepes wot tuliopitia hali ngum ya mahusian 🙏🤲
2026-09-30 20:49:28
2
msmira070
Myrah🌺 :
Aaah mi kupenda tena bhs🥺
2026-09-30 22:43:58
4
ukhtysamy3
🇹🇿💃ساميرا🇴🇲 :
ushawahi kusikia Sina appetite ndy mm hata kueleza cwez but Allah anipe subra sana
2026-09-30 22:19:32
2
bahat.abassi
Bahat Abassi :
Siwezi kuvumilia dharau
2026-09-30 19:50:30
1
gracekileo
Grace Kileo :
alikuwa hanipi hela
2026-09-30 07:21:08
0
To see more videos from user @yassriiiiii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About