fortunately,my Jesus did not come to save only the Christians. He died for EVERYONE & he that calls upon His name shall be saved.
2026-09-30 12:49:27
1
Mudy2022🇹🇿 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mbona siwaoni watetea oja wako wapi
2026-09-30 06:41:01
5
kiarie :
it's a cult handshake he ain't part of the cult
2026-09-30 12:07:38
0
Blackbriar :
Alhamdulillah, I'm proud to be a muslim.. 🫡
2026-09-30 05:48:53
118
Joseph Shigela :
na bado mnanihimiza niende kanisani😂😂😂
2026-09-30 07:44:16
37
mustafa abdul :
islam is the best
2026-09-30 13:02:53
2
Black Masihi :
Sihitaji dini yoyote,sitaki kwenda mbinguni kwa kupitia dini yoyote.
2026-09-30 09:41:09
21
Mac Adam :
SIJAWAHI KUONA PAPA MWEUSI...NINI SHIDA?????😃
2026-09-30 06:10:07
28
GinimbitzMkatoliki :
Natamani kusema Ni AI 😀
2026-09-30 06:04:42
14
Suleiman Ali :
I think this is an AI, if not then we need to re think on this Dini.
2026-09-30 06:55:35
2
BuyNSell :
only religion in front of Allah is Islam
2026-09-30 07:47:33
19
Ayatollah mhongole Khamenei :
kaponza na wenzie mbele
2026-09-30 08:59:06
10
user9952561307745 :
Hiyo ndio Roma
2026-09-30 05:27:55
12
Emmanuel6 3062024 :
Kwa namna hii hafai kuwa kiongozi
2026-09-30 05:43:20
9
@macd444 :
religion is SCAM
2026-09-30 08:05:52
8
athumanisanga :
Bora nibaki na matambiko yngu tu[Pray] ,kabla ya kuja wao babu zetu si walikuwa na Mila zao, na waliomba na kufanikiwa,
2026-09-30 05:21:40
12
scarlet fitch :
lets stop forcing to be loved..
2026-09-30 09:46:50
4
Malick :
Alhamdulillah, I'm proud to be a Muslim. 🫡
2026-09-30 07:30:00
5
JOSEPH DIONIS :
hii ndio inaitwa acha shobo jamaa😂🤣🤣
2026-09-30 08:36:45
5
Mac Adam :
Nimefatilia habari ya Papa ,nitaileta muda si mrefu,
2026-09-30 08:34:14
9
Ismaili Ally :
Shida sisi tumetekwa kifikra
2026-09-30 05:52:33
17
mwamba_malale :
noma, lakini siyo ngozi ya Tako,ni ngozi adimu,tupo wachache wenye rangi hii kwa hiyo ni wivu tu,hata almasi ina thamani kubwa kwani ni chache, We are The strongest, the biggest, The oldest,Tuache negative self talk,kosa lake tunajitukana sisi.
2026-09-30 07:38:20
7
Brian J. Makarwe :
Huyu Papa Simlisema Kashi snaa Tanzania?? Maine ya Iringa? Imekuwaje tens
2026-09-30 07:27:55
5
vankado :
then wanasemanga Hawa ma pope wako humble
2026-09-30 10:28:57
2
Tit4Tat :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-30 11:46:50
0
To see more videos from user @tanzaniano, please go to the Tikwm
homepage.