Asante dad angu nilicoment kupitia wew nipate mtt sahv Nina mimba
2026-09-30 04:24:31
615
❤❤my baby❤ :
Ollie amekuacha na kakitambi🥰
2026-09-30 04:54:23
243
babyhuled :
hakuna mwanamke yeyote wa mond anaemzidi uzuri wema na hatatokea
2026-10-01 05:52:42
59
cute Dayanaaaa 🚗🌹🎀 :
jamani wema ni mnzuri kuliko mobeto
2026-09-30 04:41:25
390
Metrine Shazy :
Happy birthday mama Ollie🎂🎉🎁❤️
2026-10-01 09:50:12
1
mrs leonard💯 :
kupitia wew naamin nami nitapata
2026-09-30 04:35:29
67
baltazarsmash :
we mzuri [Red heart][Red heart]
2026-10-01 16:47:13
0
Mrs chaser :
ila Wema hupenda kujiamlia vitu😂 sasa ukidondoka hapo ulipo Kalia?
2026-09-30 03:31:54
69
𝐑𝐚𝐫𝐞 𝐌𝐚𝐫𝐢𝐢 🐆🩷 :
my favorite song na nimeipenda kwa ajili yako
2026-09-29 22:45:12
27
MAMU🦋🌹 :
wema tumefanyiwa C-section siku Moja na tumepata jinsi Moja madam Kwanini wewe tyumbo limewahi kuisha kipenzi ulityumia Nini nisaidie na Mimi tyumbo lipunguze maana mwenzio tyumbo Bado kubwa🥹
2026-09-30 07:56:17
9
KingTary :
blessed
2026-10-01 18:16:03
0
lorineloraine :
happy birthday 🎉🎉
2026-09-30 13:24:07
1
Jasmine :
waoooh mama ollie🥰🥰🥰
2026-09-30 08:30:40
0
Elizabeth Moleli :
ninacho mpendeya uyu dada ake ajisikii aringi mungu akulinde
Daaah... jaman nampenda huyu Wema mimi tangu miaka na miaka kuna muda huwa namuota kabisa eti tunapiga stori tunafurahi daaah ila haya maisha! ila nina Iman siku moja nitamuona live Tz sweetheart wetu! Mungu tu aendelee kumtunza haki🥰🥰
2026-09-30 05:32:03
14
rayaally82 :
Happy birthday mama ollie furaha yako idumu amiin 🥰
2026-09-30 11:16:23
13
PinkyCharm🌸🦋🌸 :
Hbd mrembo wa Oscar 🥰🥰
2026-10-01 08:28:29
1
esther Chancel :
wema nakupenda sana Niko congo
2026-10-01 17:40:37
1
maggy.daud :
Ongera dad wema🙏❤️
2026-09-30 18:17:42
1
Shimii mpare :
Naomba mungu nipate mtoto kama wewe tena wakiume nimeteseka sana kama wewe mungu anifute chozi kama wewe mungu alivokutendea
2026-09-30 19:26:48
1
Irene💕🦋 :
Ka nguo pambe vipiiii🥰
2026-09-30 19:00:21
3
~liette :
this song😫gave me hope when I was lost
2026-09-30 20:34:43
3
annas :
plug wa nguo yenyewe
2026-09-30 06:20:11
1
👜iamshubra🛍️ :
Tumekubaliana kuanzia leo hii nyimbo niya Mama ollie 🙌🥰🥰🥰
2026-09-30 17:00:42
1
To see more videos from user @therealwemasepetu, please go to the Tikwm
homepage.