Mama na huyu wang ambae aliambiwa na mama yangu ana mimba akanikataaa nikazaliwa akaitwa akanikataa mama yangu alafariki nikiwa darasa la nne hakuja kunifata now nimekuwa ananitaka hivi naanzaje kumuita baba jmn 🥹💔na mama yangu hajawahi kumzungumzia vby kwangu hata jina nilikuwa simjui jmn
2026-09-30 08:24:24
12
Shuupetty 💄💄 :
Siku zotee tusiwashirikishe watoto wetu mambo yetu baba na mama ,,nawaambia kila sikuuuu watoto wangu mambo yangu na babaenu mniachie mwenyewe nyie haiwahuauuuuuuu
2026-09-30 06:32:50
51
Patrick :
Oya zombie umeua yan [Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-30 07:29:36
0
TibelaTK :
nawashukuru wote mlioniunga mkono mungu pekeake awabariki
2026-09-30 07:15:53
20
fongo.man8 :
Ndooooo mam wambie
2026-09-30 07:29:38
2
jay Dadi tz :
nikweli mama mzr mungu akulinde
2026-09-30 06:01:54
12
Ismailgwaya :
Uko smart sana Mama hakika una roho ya kiutumishi
2026-09-30 06:00:26
34
yohana Mpenda690 :
dada balikiwa
2026-09-30 06:27:22
11
Jonhson Mollel :
wambie wanawake wenzio
2026-09-30 05:38:13
10
magambo maligisa :
fact dada
2026-09-30 06:33:06
2
alhaji omari :
naomba nikupe zawadi
2026-09-30 06:43:49
6
Aleky :
kweli mummy
2026-09-30 06:32:27
10
user914446 :
Dada umeongea point sana kwa mtu muelewa
2026-09-30 05:52:01
27
mutambuka Iddy :
hongera
2026-09-30 06:38:37
2
Apala :
Kuna watu mtawaona km roho mbaya pesa nyengine zinamaelekezo sio pesa
2026-09-30 06:33:32
9
sospiter@5349 :
nice mama
2026-09-30 06:45:26
2
KACHONGO JUNIOR ❤️❤️ :
umeongea point mpaka nimekufollow dada yangu mungu akulinde
2026-09-30 06:01:22
13
walking ghost :
mm naishi na mke wangu kama chadema na Ccm tu. Dakika mbili mbele
2026-09-30 06:32:17
23
Linda Antonio :
soo this is Diamond father??
2026-09-30 07:20:19
5
Neema za Mungu :
NAOMBA KUULIZA ILI NIJUE KWAHIYO WANAUME MALAIKA HAWANA MAPUNGUFU?
2026-09-30 06:06:34
6
pashimene :
kinachokuuma nn
2026-09-30 05:40:03
21
Winnie :
dada acha kuwatetea waambie wabadirike waenjoy ili wasikutane na hayo uzeen mtu ale bataaaaaa nateseka na watoto alafu eti atalaan wanangu sio kweli
2026-09-30 07:01:26
8
nadzuwakilaga16gmail.com :
acha ninyamaze 2 nikiongea ntaonekana m baya iwashke
2026-09-30 06:39:53
5
To see more videos from user @tibelatk, please go to the Tikwm
homepage.