@uniforce_energies: Ushawahi kuwa na hii strategy, ehee? 😂😂 Na hii sio kwa mafundi tu. Unapoanza kujenga brand yako, unaweza kujikuta unashusha bei sana ili kuvutia wateja wengi. At the back of your mind, unajiambia, “Nitaweka bei ndogo mwanzoni, nikishapata wateja wengi nitapandisha taratibu.” Lakini swali ni, unajua brand yako ita-attract wateja gani? 😂😂😂 Ukiwa known kwa bei ndogo, utavuta zaidi wateja wanaotafuta bei ndogo. Ukifika hatua ya kupandisha bei, baadhi yao watakimbia na kutafuta mtu mwingine anayetoa service kwa bei ile ile waliyoizoea. Kwa hiyo, kwa maoni yangu, kushusha bei sio strategy. Pricing yenyewe ni sehemu ya business strategy. Lakini ili pricing iwe strategy, bei yako inahitaji kuwa reasonable na kuendana na value unayotoa. Usijenge brand kwa bei ambayo hutaki kuendelea nayo. Hii ni kutokana na personal experience yangu. Sio ushauri wa kitaalamu, wala sikwambii ufanye nini kwenye biashara yako. 😂😂 Ninachokwambia ni kile nilichowahi experience mwenyewe.

Uniforce Energies LLC™
Uniforce Energies LLC™
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 04:57:36 GMT
1263
129
12
2

Music

Download

Comments

robath_silemu
Robath :
💯💯Win win
2026-09-30 06:56:12
0
frankpowersolutions2026
frankpowersolutions :
kweli kak angu
2026-09-30 16:31:15
0
ajjtechsolutio
AJJTECH SOLUTION :
ni kwel aisee
2026-09-30 05:57:07
0
poloelectronics
poloelectronics :
ukweli mchungu😂
2026-09-30 05:05:40
0
tengeboe5
𝙏𝙚𝙣𝙜𝙚 𝘽𝙊𝙚✌✌ :
🥰🥰🥰
2026-09-30 05:57:27
0
tariqaudio
Tariq Audio :
👏
2026-09-30 20:52:40
0
To see more videos from user @uniforce_energies, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About