@visiniamoshilovenesskit4: #kwa masikitiko makubwa nawajulisha kuwa nimepata changamoto ya ghafla asubuhi ya leo eneo ninalofanya shughuli zangu sitakuwepo Nitawapostia pia message niliyotumiwa kwakweli taarifa hii imeniumiza sana Kwa wateja wote mlioniamini na kunissuport asanteni ntaendelea kuwapambania mpaka nihakikishe. Nimepata eneo ####Lengo la kutaka niondoke ni kwa kusudi Lao waendelee wao Kwahiyo wateja wang nawapa taarifa ya kuwa sitokuwa natoa huduma mimi Mungu anisimamie nikiendelea kuwapambania wateja wangu

Visinia moshiLoveness-kitchen
Visinia moshiLoveness-kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 05:00:33 GMT
14173
818
161
76

Music

Download

Comments

mamyswai457
Mamy Swai :
pole mom pole kpnz chang
2026-09-30 16:45:40
1
user6792958356193
mkombozi :
pole my roll model
2026-10-01 15:29:16
1
misswisam
Miss WI :
Hamia kcmc dada tunahitaji sana visinia
2026-09-30 10:12:35
8
naftal151
Agnes naftalagnes@gm :
Pole dear
2026-10-01 09:07:44
1
subira.kingu
Beipoa Nails :
Wenye maeeneo moshi ndo tabia zao sijui kwann masoud hivyo hivyo walimfanyia sijui kwann jmn tunakuwa na roho ndogo kwa maon yangu uwe unasaini nao mkataba kabisa kisheria wanaboa 🥲naumia jmn daah pole dear mungu atakufungulia milango zaidi
2026-09-30 08:24:12
6
kennie_aidan
kennie Aidan :
mamaaa pika hata nyumbani tuuu tutakuja na kuagiza online
2026-09-30 05:54:02
13
jackinehaule
Jackie ❤️🦋 :
Duh
2026-09-30 08:48:53
4
pudemrosso
pudemrosso :
Na atutoenda kula hapo tena
2026-09-30 08:24:51
3
rahmammanyi
Rahma Mmanyi :
wiv wat wanawivu sana ndug yang
2026-09-30 10:03:39
3
annanyalusi235
annanyalusi235 :
pole sana dear usichoke ,usilie usikate tamaa Mungu atakuvusha
2026-09-30 07:44:57
5
gisbertleonard
Geezy :
Daaaaaaaaah pole sana
2026-09-30 08:47:22
2
user7957713233555
user7957713233555 :
dah pole san nimejikuta naumia na mm
2026-09-30 13:28:03
3
aika.tine
aika tine :
pole sana dear usihuzunike utapata pazur zaid
2026-09-30 08:45:12
2
user6063828463593
dellys kebrone :
njoo ata uku ksmc ( amans )utapata eneo
2026-09-30 09:02:49
2
abdon5706
ABDON🫶 :
pole sn jmn da ifike mahali serekali iweke sheriakali
2026-09-30 14:01:35
2
gee_kipua
Gee_store_moshi :
Hili nalo litapita 🥰
2026-09-30 12:55:46
2
kajol0331
kajol :
Pole kipenz
2026-09-30 09:59:12
2
pi.xie_9
𝒑𝒊𝒙𝒊𝒆 :
jmn 🥹
2026-09-30 08:19:38
2
gerald.mnama
Gerald Mchau :
polesana
2026-09-30 08:44:26
2
tiffah.juic
tiffah juic :
Jmn😭
2026-09-30 18:05:18
1
ubaldamboy0
ubaldamboy :
pole San dada kama nijaribu amini litapitia pia amina
2026-10-02 05:11:56
1
brigitakimaro57
brigitakimaro57 :
Poleeh sana dr
2026-10-01 18:54:18
1
electronics1391
@D.electronics1 :
mamaah usikatetamaaa
2026-09-30 18:54:07
1
jacquelinemema
Baby jackline :
jamani nanlikuwa nimejipanga kuja kula jumapili duuh 😭 pole dear
2026-10-01 07:01:25
1
mwanaukome0
Silencer💯✅️ :
jamn pole mahiii mungu akutangulie kwenye upambanaji wako
2026-10-01 07:05:14
1
To see more videos from user @visiniamoshilovenesskit4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About