@islamicswahilinet: MUISLAMU ANAPOSUJUDU KWENYE SWALA ANATAKIWA ASEME MANENO GANI? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ๏ทบ amesema: โ€œMwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.โ€ (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah ุณุจุญุงู†ู‡ ูˆุชุนุงู„ู‰. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 05:08:18 GMT
110368
8091
270
234

Music

Download

Comments

sweet.love.13
sweet love 13 :
subhana rabiyalaala wa bihamdhiix3๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ tusomeni jaman
2026-09-30 06:02:59
137
karajun0
Karajun :
Subhana rabbi yal a'la
2026-09-30 06:23:25
77
tenendeboy2
jumashabani201 :
SUBHAร‘A RABIALALAA
2026-09-30 06:50:06
28
mima.pachey
mima pachey :
da usijaji muonekano wa mtu
2026-09-30 06:52:58
9
nursanahcharles
๐๐ฎ๐ซ๐ฌ๐š๐ง๐š๐ก๐Ÿฆ‹ :
subhanna Rabbial Ahla Wabihamdi
2026-09-30 14:45:05
8
ar.ally5
Ar Ally :
Waislam weng wanaswali pasipokujua swala yenyewe mungu atuongeze sote tuendelee kujifunza
2026-09-30 09:49:27
17
shabbywa402
shabby wa pili :
mwenye kujua maneno hayo kwa kiswahili tafadhali [Pray][Pray]
2026-09-30 06:23:33
6
user4080323605939
nash girl ๐Ÿ˜ โœจ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ :
subhan allah rabiyalaaa wa bihamdhiix3
2026-09-30 05:39:22
14
nuruzubery
nuruzubery :
Subhanaallah๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜…โ€ฆ tujifunze japo kidogokidogo tusiache dunia na vilivyomo ikatutawala
2026-09-30 06:43:41
7
malume.kidd5
Malume Kidd๐Ÿซฃ๐Ÿซฃ๐Ÿซฃ :
subhanna Rabi yal allah
2026-09-30 12:13:19
6
saadanyo
saadanyo :
subhanaallah
2026-09-30 14:04:10
1
wise.moshee
๐Œ๐š๐ก๐ž๐ซ ๐›๐ž๐ฒ :
Subhana rabbi yal a'la
2026-09-30 07:00:48
6
user9266118709269
user9266118709269 :
SUBHANA RABIYALAALAA WA BIHAMDHIIร—3
2026-09-30 05:26:37
6
dotto4146
Dotto :
masharaah
2026-09-30 18:31:45
0
m.harakati
Hip hop harakati :
Subhan
2026-09-30 13:42:11
0
halimamohamed723
halimamohamed :
mashaallah
2026-09-30 16:04:44
0
salhah93
Prisca princess :
๐Ÿฅบ
2026-09-30 11:31:55
0
lakisipesa05
Laki si pesa :
Subhana Rabbi Yal A'la
2026-09-30 18:02:05
0
faridaahshaweji
Faridah๐Ÿ’• :
2026-09-30 13:39:25
0
user6879901446856
user6879901446856 :
Kwanini mimi sijawahi kukutanae huyu jamaa
2026-09-30 20:20:37
0
hidersclassicwear
Hider's Classic Wear :
SUBHANALLAH
2026-09-30 13:06:57
1
salmaramatha816
salma :
mashaallah ๐Ÿ’ž๐Ÿคฒ๐Ÿคฒโค๏ธ
2026-09-30 07:07:50
1
saumu0947
mke๐Ÿ’โค๏ธ๐Ÿ” :
Subhanaallah
2026-09-30 07:22:27
0
currencytz
CurrencyTz (Baba Rayaan) :
Jamani tusomeni dini yetu
2026-10-02 06:18:25
1
zugahbet
zugahbet :
subhana rabiyalaa wabihamdi
2026-09-30 17:23:56
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About