Edii kash🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
huyo ni mimi 😂alafu kuchangia kwake ni waah, walai, Wacha, alafu, baana, akh,ni mbaya, atii, atakama, of course ulikua unaexpect Nini, nlijua tu, okey, sawa sawa, why why why, no no no, walai ni ufala, wazimu 🤣🤣🤣🤣namaliza sasa napumzika🤣🤣
2026-09-30 08:19:32