vijana wa motoni wanasema apana umekosea hii story 😅 Gen Z wamegoma
2026-09-30 06:19:50
4
marco :
niwekuwa wa kwanza 😅😅😅😅
2026-09-30 06:16:03
2
BARAKA NYANGI :
kwampalange hiihii ya buza ndiyo unaniambia walilima mkonge??
2026-09-30 09:51:28
0
~seifullah~ :
na buza kwa lulenge
2026-09-30 09:19:43
1
Mndewa11 :
hiyo ya Tope hiyo ndio yenyewe
2026-09-30 08:09:17
1
Mohamed mwanza Kidd :
hiyo nayo ni dar??????
2026-09-30 14:15:17
0
Joseph Mwamundela :
jj unajua san
2026-09-30 06:18:22
1
XOXO_Marxee :
nashukuru sana kwa hii history
2026-09-30 06:14:01
1
I remember :
noooooma sana
2026-09-30 12:58:44
0
emma akyoo :
vjana wa motoni
2026-09-30 11:53:48
0
jedbil05 :
kwa mparange
2026-09-30 06:35:34
1
Mofemi~stories :
"Mi athemana sita" anamaanisha *86*.
Kwa hiyo mtu akisema *"mwaka 90 miathemana sita"* au *"mia tisa themanini na sita"* anamaanisha mwaka *1986*.
Na akisema *"tisini na sita"* (90 + 6) basi ni *1996*.
Wewe ulimsikia akisema themanini na sita (86) au tisini na sita (96)?
2026-09-30 13:44:31
0
cank_ code0 :
Hahaha kumbe jina linaaakisi kabisa asili tukijua utani
2026-09-30 12:20:35
0
RICHARD :
Unatumia cm kaka
2026-09-30 08:03:15
0
Lusco :
eti vijana wa Motoni😁
2026-09-30 07:34:26
0
Muu# :
aya kijana wa ardhini 😅😅😅
2026-09-30 14:36:58
0
etc Exodus KNox :
wazingatie Angalizo....
2026-09-30 08:06:27
0
ochu tz :
Watu Wa Motoni Sisi😂😂😂
2026-09-30 08:06:52
0
RICH MAN :
nakubali sana
2026-09-30 09:06:08
0
paul shegy ngassa :
kwenye tope
2026-09-30 06:16:49
0
To see more videos from user @sisini_sisi, please go to the Tikwm
homepage.