uliza uambiwe dada yanawakuta sana ila hawasemei tu
2026-09-30 18:10:24
63
Happy store :
ubaya unarudi vizuri sana tena kwa haraka sana.tuulize sisi wahenga tukuambia my wangu[Tears of joy]tuna mengi tunanyamaza tu
2026-09-30 13:15:32
41
رملة صندل :
Sawa but yote Na yote kumbukeni kuna KARMA beb hata kwa kuchelewa Ni lazima utailipa tu 🤌
2026-09-30 15:45:02
16
p gangstar :
Siyo kweli, waulize hao watu wabaya wakusimulie
2026-09-30 13:51:52
26
Centralzone Health Solutions :
naomba uniambukize roho mbaya😂😂
2026-09-30 10:55:58
4
Diana Mjimu :
usije cheza na damu ya mtu
2026-09-30 21:09:43
20
Becka :
Nilishajifunza hilo siku nyingi sana
2026-09-30 16:44:04
16
A Kibondwa :
There is no Karma in this World.Dunia ina operates based on Flow of Energy tuu.
2026-09-30 19:58:56
6
Dr Naseeb :
Saiz ukiamka asubuhi sema maneno haya "Aibu Utaona wewe" then nenda kafanye kila kitu
2026-09-30 17:46:37
7
Moustaph Iddy :
Dunia haiwaadhibu waovu bali wema kwa sababu iko chini ya utawala wa mwovu pia(DEVIL)
2026-09-30 12:56:44
12
Davis :
kweli ,USIKUBALI WATU WAKUUE , maana watatubu na watasamehewa
2026-10-01 06:05:34
8
Regina Said :
Hili jambo nimeliwaza jana… kwanza watu wabaya ndo hua baraka zinamiminika juu yao na mambo mabaya hua hayawapati kila sku wanazidi kusonga mbele na wanaishi vizuri mno 🙌
2026-09-30 14:13:53
4
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Acheni kupotosha watu karma ipo japo hatuwambii watu wakae wakiendelea kulaani watu bali waendelee na maisha mengine
2026-09-30 13:27:49
6
learning_village_point :
The world dont punish the evil but punishes the weak. no karma at all.
2026-09-30 20:38:59
3
felisian :
sawa punguza ujiaji sasa
2026-09-30 22:15:10
3
Tobias Enock :
kabisa Kuna watu wamefanya mabaya mpaka wanazeeka so uko sahihi
2026-10-01 14:27:44
1
𝐛𝐡𝐨𝐤𝐞 𝐛𝐨𝐬𝐬 666💫🙏🏻 :
dear leo umeongea points usiruhusu mtu akufanyie ubaya ukasema unamuwachia mungu wao wakikufanyia ubaya wanamuomba mungu msahama na mungu anawasamee na hakuna kitakacho watokea hata ukiteseka
2026-09-30 18:17:30
4
Janeth :
Kwahiyo karma hakuna tena 🤣🤣🤣
2026-09-30 15:52:52
1
Gee 💕 :
sawa kwahiyo dunia nzima wote tukiwa na roho mbaya patakalika??
2026-09-30 18:03:56
2
Mwanaidi Nandonde :
ndio maana adui ninaemuweza simwachii mungu 🥰🥰
2026-10-01 08:41:11
1
user69874910750991 :
Kama Nimekuelewa ni kwamba, Wakati mtu Akijilinda Asidhulumu wenziwe - ni hivyo hivyo Anatakiwa Kujilinda na Kupambana ili na yeye Asidhulumiwe. 🤔
2026-10-27 10:02:33
1
Bi Amina KPM♒ :
Kila kitu ni nishati [Laugh approved][Pray]
2026-10-21 15:54:42
1
sexy mama🥰💘 :
sio kwanguu always mtu akinikosea namuona akipokea karma yake kunabaadhi ya watu ukiwakosea hauna bahati
2026-09-30 18:46:01
1
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm
homepage.