Ingekua hivyo walinzi wangekua matajiri sana maana wao ndo wanao ongoza kuafanya kaz uck
2026-09-30 13:41:27
6
slayer 4k :
sasa namuuzia nani miwa usiku
2026-09-30 12:27:47
5
@NeemaAthanazi :
msituchanganye bhana usiku ni kwa ajili ya mapumziko msinifokee
2026-09-30 11:10:19
7
❤️❤️ :
ndo maana tunabet usiku kaka
2026-09-30 11:13:04
2
MSUYA BUGATTI :
note man u😂😂😂
2026-09-30 15:58:14
0
RM GOLD :
na huyo tajiri wa dunia ilonmax una mueka fungu gani na wingi wa watoto alio nao
2026-09-30 10:17:41
2
Justine :
kwann man u lkn😆
2026-09-30 09:23:18
0
mikepierre :
tatizo ukishapata mafanikio suala la kuongea unachojisikia linakuwa ni la kawaida ndo asili yetu binadamu tunajikuta tumemaliza Kila kitu tunajikuta baada ya kutoa ushauri wenye tija tunabaki kuvuruga wale ambao hawajajipata na sasa hivi siyo manabii tu wa uwongo mpaka watu kama sahv wamekuwa wengi sana na ndo utagundua kuwa technology inatumiwa vibaya na ndo kitu kitakuja kuangamiza watu endapo kitatumiwa vibaya miaka ya 2000's ulikuwa huwezi kusikia mambo kama haya 😄
2026-09-30 14:44:24
0
Ruhasha Jr :
huyu ni Bilionea namba ngapi Tanzania
2026-09-30 19:12:09
1
One joe :
🤣🤣🤣🤣 tupe hizo Kazi za usiku
2026-10-01 12:48:45
0
LIAM_JR :
"fanya kazi usiku"... baadae utaskia "kisayansi ulale masaa sita mpaka nane" 😁... ushauri bn.
2026-09-30 16:37:41
1
JITU POLI🛀 JITU LA MSITU🌳🌳 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-30 07:20:21
2
I'm Osward⚽ :
Tuamke tuende wap sasa!! Dah msituchanganye basi
2026-10-01 04:03:50
0
Home festo shoes :
Huyu ana utajir kias gan
2026-10-01 08:00:22
0
Leoninga :
sawa kabisa
2026-09-30 10:23:38
1
Muvah Bae :
tufanye kazi gani[Innocent]
2026-09-30 11:39:35
1
maarifa kazi :
Usiku tufanye kazi gani sasa em tupe connection
2026-09-30 11:49:38
1
Blessdady 🤕 :
sa usiku unafanya kazi gani
2026-09-30 12:00:57
1
Behind the smile :
HABARI KWA WAZAZI ,
SISI MADEREVA WA SCHOOL BUS TUNAOMBA MPUNGUZE MAJI KWENYE JUIS ZA WATOTO
2026-09-30 21:47:58
0
top_bando :
kwanini man u?
2026-10-01 11:28:29
0
Moveon :
ila Man u kaah! wampumzishe
2026-09-30 20:30:38
0
JooBen (Kaka Pastor) :
Zanzibar na Pemba 📌
2026-10-01 13:39:46
0
NDUNDE💫 JR :
kweli kabisa
2026-10-01 03:44:02
0
BUTTERFLYLOOKS|THRIFT :
Kazi gani tena usiku mmetoa?
2026-09-30 18:43:19
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.