@pascal_mushi12: Kupika chapati si kukanda Ngano tu, kuna siri nyingine zaidi😎 #chefpascal #cooking #chapati #Dough

Pascal's Kitchen
Pascal's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 30 September 2026 07:26:17 GMT
118704
5439
284
484

Music

Download

Comments

saint.biiby
Saint Biiby :
Zangu zinaweza tumika kukata mwizi shingo. I have given up. 😏
2026-09-30 08:20:13
144
mama.shungi
Mama Shungi 😁 :
😂mimi ukichelewa masaa mawili unakutana na mbao
2026-09-30 09:12:45
40
furaha.ndendya
Happy :
🤣🤣🤣🤣 you are killing me
2026-09-30 17:33:07
0
lelo_tronics
JOVAN :
hiiii video inamfaaa mke wangu hajui kitu kuhusu chapat😂
2026-09-30 09:41:46
9
jammy.hb
Jammy.hb :
hehehehe ngoja nicheke kwaanza maaana yashanishindaaa🤣🤣
2026-09-30 11:28:05
0
babieaish
babieaish :
Mimi nakanda na maji baridi, na chapati zangu nilaini na tamu hatari 😋😋
2026-09-30 09:19:14
43
sue21558
user8125682621217 :
Thanks
2026-09-30 13:30:14
0
tumainimeshack93
[email protected] :
excellent 👌.chef I have a question. The oats is it allowed for gluten free?
2026-09-30 07:51:37
0
aliah7352
aliah :
nmejaribu sana lakini imeahindikana mwanaume anaishia tu kunichekaaaaa
2026-09-30 18:54:27
1
kigahe.kigahe2
miss Leo🦋 :
hutaaamin nafanya hivyo vyote bado chapati inakua ngum🤣😭
2026-09-30 09:26:03
18
hassan.bashiri.ju
laviz 007 :
mim huyo🙌🙌
2026-09-30 07:44:43
8
winlogan001
winlogan001🦅 :
mimi hata kabla haijapoa ni ngumu km kibao
2026-09-30 08:09:52
15
kolimokilonzo
mama yake Ado :
siku 4 mbona nyingi🤣🤣🤣nusu saa tu inaweza kukukata shingo
2026-09-30 09:53:39
4
user1398519587994
Mumyg :
Asante sana Chef najifunza mengi sana be blessed
2026-09-30 07:32:35
5
neykoo12
NDIGWA HARDWARE ♐️🇹🇿 :
Mimi Nisha choka ata kuji funza Nisha sema nta pika za maji tuu maana niki pika una eza tumia kupiga ngoma 🥺🥺
2026-09-30 10:12:14
1
getrudendenji
getrudendenji :
asante
2026-09-30 12:09:23
0
mike712451
Mike :
Thanks
2026-09-30 13:35:26
0
rosekitaly246
lukreshous kitaly :
hayo Maziwa unaingezaje ili ziwe laini
2026-09-30 13:50:36
0
ibrahimjoshua991
Ibrahim 🤫 :
unga unakanda kwa mafuta au?
2026-09-30 08:54:09
0
lightnesswellness1
Lightness wellness :
naomba siku unipikie chapati
2026-09-30 11:28:29
0
userwinfrida0
winfrida tz🍎🇹🇿 :
ilale? mda huo huo nachoma2 znakuwa ukoko🥺🥺🥺🥺
2026-09-30 11:38:58
4
freedom4nt
☯︎ :
2026-09-30 07:32:24
1
nganashe.og
nganashe og :
2026-09-30 07:40:30
0
nourmiliki
nour miliki :
zamani wamama walipika bila blueband wl maziwa tamani nijue waliwezaje kupata chapat nzur
2026-09-30 08:00:15
1
blossom_accessoriess
Blossom accessories :
Mimi huyo baada ya kutengeneza mabati na sio chapati.
2026-09-30 09:56:41
3
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About