eeh baba sokwamba nateseka ama nna wivu na baraka za wengine..
... hapana Niko sawa
eeh baba sokwamba nakukumbusha kwa baraka umenisahau ..
....hapana najua unanijua kwa jina
unaona nayopitia
ela kama mwanadamu Kuna mda moyo unauma nazidiwa sa ntamweleza nani kama siwewe