@smart.boy_sauti.y: Replying to @mohamedabuu508 #followers#footballers#football#friends#tictockers. @Soka la Tanzania limebeba jina la captain Diego kwa wino mzito wa kihistoria.
tunao mkubari samata tujuwane kama umkubali pita kushoto
2026-09-30 15:54:43
62
christopherjoel67 :
nasubil sku udondoshe ZICHENKO
2026-09-30 13:16:11
1
SHIJA MAGANGA MALALE :
Kisa ametokea simba du!
2026-09-30 20:13:11
6
Asaph_@Tz :
kwamba carl Walker ndo alijb hvo🤣
2026-09-30 10:11:59
7
INSTANBUL MOBILE STORE :
Etoo baba na drogba
2026-09-30 14:26:51
2
Msel@ 🤪 Safi 4👊 🍀🍀 :
the greatest goat samata
2026-09-30 17:42:57
4
Mr Tottenham Nguzo :
wakaida angeluwa Wissa ungesemaje
2026-10-01 05:10:21
1
Mainoojr💥 :
the real goat 🐐🇹🇿
2026-09-30 18:25:16
3
NUUN QAAF MWAMBA :
namkubali
2026-09-30 19:24:38
3
Robert Charless Jr :
Good boy
2026-09-30 19:27:05
2
Hassan :
mm pia namkubar kk
2026-09-30 16:46:35
4
Samaha Seif :
Wasiomkubali SAMATA mara zote huwa hawajuagi mpira bali wanafata mkumbo na mihemko ila jamaa kapambana san kuitangaza Tanzania duniani kote
2026-09-30 12:57:07
11
Iddmaino :
namkubal san samatta
2026-09-30 17:26:14
2
babilon byser :
daah nzur hiyo br nzur simuliz iko saf 🫡
2026-09-30 09:42:13
5
yoel pj :
shid tz wat wanamaneno yakukatisha tamaa
2026-10-01 05:15:37
1
user8838581306808 :
tatizo hatusaidi
2026-09-30 17:40:20
2
vany melody :
Heshima kwa samata aise 💯
2026-09-30 18:49:40
2
jumanneomary10 :
l love you sama goooll
2026-09-30 19:29:28
2
Ruvoma thomas :
tunaomba muongee nae jamani aludishe moyo nyuma tumone tena kweye tim yataifa apeane pasi na chilambo tafadhali tunaomba kwani wabaya watu walianza before hajazaliwa
2026-09-30 22:49:13
1
Massawe Jr :
hivyo viwanja viwili vinavyo tengenezwa kimoja kiitwe Samarta studium
2026-09-30 15:36:47
1
Mngezi Jr :
uyo timu ya Taifa hajitumi bh
2026-10-01 06:19:22
1
official plan kid :
Noma
2026-10-01 05:01:50
1
PASCHAL HB :
kweli kabisa broo saiv ndo wameanza kuona umuhimu wake ndani ya taifa stars
2026-09-30 16:02:51
4
selemaniselemani60 :
mbagala Tanzania
2026-09-30 13:30:09
3
To see more videos from user @smart.boy_sauti.y, please go to the Tikwm
homepage.