@hep.b.liver.hub: CONTENT 1 — :Madhara 5 ya Hepatitis B 1:Cirrhosis – ini kupata makovu makubwa. 2:Ascites – maji kujaa tumboni. 3:Portal hypertension – shinikizo kuongezeka kwenye mshipa wa portal. 4:Kutokwa damu ndani ya tumbo kutokana na mishipa ya umio kuvimba. 5:Ini kushindwa kufanya kazi vizuri (liver fai ⚠️ Hepatitis B inaweza kuleta madhara makubwa ikiwa haitafuatiliwa vizuri. 👉 Unafahamu madhara mengine ya Hepatitis B? COMMENT “INI” nikutengenezee sehemu inayofuata. #creatorsearchinsights #afyayaini #livercare #liver #vill