ahsnt mungu kw kibali hik nilindie rafik yang kipenz ney wang
2026-09-30 13:47:31
1
chrisjm23 :
shuhuda zako hazielezeki, ni mwezi ambao mwanangu amelala kitanda cha milele🙏🙏
2026-09-30 15:43:17
2
Jayh💗 :
Duh Kuna mm hat nlkuwa sjuh kma leo tarehe 30😔
2026-09-30 12:00:25
2
Dayana❤️🤍 :
Bola at Mwez umeisha huu
2026-09-30 13:00:30
1
Jes :
Ahsante MUNGU kwa neema yako toka mwezi jana tunaomba rehema zako tena mwezi huu baba🙏🙏🙏
2026-09-30 13:01:43
1
Lady mbise Mbise :
Asante mungu umenitoa sehemu ambayo niliona Bora ata nife lakini kwa uwezo wako umenipa tabasamu umenifuta machozi yangu ukaniponya vidonda vyangu,,,, ubarikiwe Mungu wetu
2026-09-30 10:47:47
2
winnieleka4 :
Ahsante mungu umenivusha kwenye tatizo kubwa sanaaa
2026-09-30 18:19:04
0
mtumaya :
asante mungu
2026-09-30 17:35:38
0
Official sally 🍁❤️ :
Asante Mungu kwa kila kitu
2026-09-30 17:28:36
0
double e :
kama na mimi baba umenikumbuka huu mwezi nashukulu sana ulijua kunipitisha jangwani ila hukuacha umeamua kunifuta machozi na aibu huu mwezi 😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-30 17:39:22
0
♥️mama💞 L :
Asante Mungu
2026-09-30 18:34:34
0
@abraham stivini :
Amen amen amen amen amen 🙏
2026-09-30 17:19:01
0
Pendo Mariam :
asante mungu kwa uhai
2026-09-30 17:28:52
0
zefaniamohamed :
Ameen
2026-09-30 17:28:09
0
madam G beauty💄 :
Kesho ni siku yangu ya kuongeza Mwaka 1st October baby 🥰