@min.hans_richard: You are too beautiful my sister to go to hell. My brother, You are too handsome, smart, hustler to end up your life in hell. Give your life to Jesus #gospel #jesus #sisindiowaletunaosaidiwanabwana #addictedtojesus
Nasikia furaha sana kuona wakaka kama Hawa wakiihubili injili ya MUNGU barikiwa sana 🙏
2026-09-30 16:58:40
101
Chaga girl :
YESU ANARUDI TUJIWEKE TAYARI
2026-10-01 10:29:01
19
Dyner Organics :
kuna raha flani hivi naipata nikiona kijana anamtangaza Yesu
2026-10-01 07:13:30
39
Lucy mero :
Nikipita nawaonaga hata leo nimeona nawafurahia sana
2026-09-30 19:28:39
19
Rebb's collection 🛍️👌❤️🔥 :
Mungu awabariki,,, lazima injili ihubiliwe🙏
2026-09-30 12:56:20
7
Gabriela gabriel :
Injili ya Yesu isonge mbele🙏🙏
2026-10-01 06:10:02
3
ednatarimo :
Asiye mkubali Yesu kwa kweli hana cha kujitetea siku ya mwisho maana injili sasa ni kila kona hakuna ambaye hajasikia
2026-10-01 04:37:53
8
Frankwise :
Jesus is God
2026-09-30 22:37:12
4
Zack G 60 :
balikiwa sana mtu wa mungu
2026-09-30 10:57:22
3
RICHDADY :
My brother you have a something special Mungu azidi kutubariki vijana katika utumishi 🙏🏽
2026-09-30 21:29:28
4
cutejenna :
hallelujah 🙌
2026-09-30 13:14:31
1
MrSWOT :
SIKIA; Yesu ni njia, kweli na uzima. Hakuna mtu atakayeuona uzima huo bila kupitia Yesu Kristo.
2026-10-01 06:42:53
5
Lucy :
hakika YESU yu karibu kuja
2026-10-01 09:06:52
1
Happie Medics 🩺💊 :
haiwezekan kabsa niishie kwa shetan
2026-09-30 08:34:42
3
Upendo Owdem :
Injiri itahubiriwa kila kona mkose ili mkose sababu siku ya mwisho
2026-10-02 09:12:12
1
Glory Amos :
Ni baraka sana kila kona kuona huyu Yesu akihubiriwa ili watu wamkiri waache uovu na kuipokea nuru ili kuichukia dhambi maana mshahara wa dhambi ni mauti na kila dhambi ina gharama bali wokovu ni neema ipatikanayo kwa kuamua kuamini na kumfuata Kristo maana tayari ametugongea mlangoni ni kumfungulia tu aingie
2026-10-02 12:32:44
1
CHINA STORE KARIAKOO :
Amen
2026-09-30 08:33:16
1
Najima Adamkomba :
Hallelujah 🙌 🙌 🙌
2026-09-30 11:53:45
1
BINT SAYUNI 🥰 :
EEE mungu tuokoee
2026-09-30 17:11:16
1
PASTOR BETTO MAHEMA :
Mungu awabariki sana
2026-09-30 09:45:48
1
Zack G 60 :
hii ndio kazi iendelee sasa
2026-09-30 10:57:09
1
Graviella :
Ameeen YESU KRISTO ni Alfa na Omega
2026-10-01 11:33:29
1
Blessing :
uwiiii🙌🙌🙌🙌🙌🔥this is fire
2026-09-30 13:13:20
1
blessed-v :
Amen
2026-10-12 12:59:38
0
dor trend store✨👖👕 :
🙏🙏amen
2026-09-30 08:45:57
0
To see more videos from user @min.hans_richard, please go to the Tikwm
homepage.